Haika Lawere wa 'Mbezi Garden' apewa Talaka

kakutana na bomba ya maana itakuwa
...napitatu

yaan hii dunia watu wanakaa miaka 21 wanaachana na kuna watu wanajazana kwa mwamposa kuhan MUSA
SUGUYE

" WANAOMBA MUNGU AWARUDISHE WAUME ZAO WAMEKIMBIA AISEEEE^^
Japo wameachana mpaka kutalakiana leo ndo niliona hiyo post ya mzee magesa na bibiye Haika naye sijawahi sikia akizungumzia ndoa yake udhaifu wake kama wafanyavyo wnawake walio wengi,

Kwa kiasi kikubwa nilivyosoma post ya magesa nimeona ukuaji na utu uzima wenye hekima akili na busara though wameachana watoto ni watu wazima sasa

Kuna mtu mmoja kasema wameachana kisomi nimeipenda hiyo πŸ˜‚ ingekuwa Mimi kilio kingesikika mpka kwa chalamila
 
Kulingana na maelezo yako basi mambo ya wananwake magumu sana. (Unakuta ni bikra au wewe ndio mwanaume wa pili). Sasa uwe wa ngapi ndio salama?!
Suala mtambuka, jiandae kisaikolojia kupata mwanamke kwa wastani wa chini kishatembea na wanaume 5, hakika utakuwa na amani kwenye ndoa, ila ukisha muoa, hakikisha unamlinda tu wale waliomtoa bikra wasirudi maana hawezi kusahau aliyemtoa bikra mpaka anaingia kaburini na aliyemtoa akija hatongozi, mwanamke analegea kama mbwa kwa chatu.
 
Uzi ufungwe
 
watu wamedumu kwenye ndoa 21yrs alf wanaachana kirahisi tuπŸ€¦β€β™€οΈ na wanaamua kumove on kila mtu anaendelea na issue zake,,,

nimejifunza kitu hapa Hata najua basi pita na huku we mkenya ujifunze vitu
Nimejifunza kitu watu wameeachana
After 21yrs ya ndoa πŸ™Œ

#Watu wanakuja na kuondoka
 
Sasa uoe mwanamke ambae ashatumika na minimum approximation ya wanaume watano halafu ufanye kazi ya kumlinda asifuatwe na maex wake, kwanini usioe tu bikira kuondoa huo usumbufu. Maelezo yako yanaonyesha mwanamke used ana uwezekano mkubwa zaidi wa kuchepuka kwa sababu bado ana kumbukumbu za mambo aliyoyafanya na maex wake
 


Upuuzi tu. Hatumjui na hatuhitaji kuyajua mambo yake. Anatuambia iweje?
 
Wabongo bana, Hawa Wanandoa hawajasema sababu ya wao kuachana ila watu wamesha conclude na kuweka sababu

Hawajataja mali zao wala Properties Distribution among them ila watu wameshajadili

Je wangesema wao???🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…