Haikuhitaji Marekani kutumia ndege na tanks kuiangamiza Caracas, walihitaji walinzi watatu tu kufanikisha mchongo mzima

Ertugrul Bey

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
14,705
Reaction score
30,041

My people,​

Habar iliyopo duniani sasa hivi ni kukamatwa kwa Maduro wa huko Venezuela, hapa nakuletea habar za kikachero kutoka Caracas.

Pentagon,Marekani

Mpango mzima ulianza mwaka mmoja uliopita pale ambapo Marekani ilikuwa inatafuta washirika wa kuwasaidia kufanikisha hii operation

Caracas,Venezuela

Kuna bodi gadi mmoja muhimu sana ambaye amekuwa na MADURO takribani kwa miaka 6,huyu bwana alikuwa na changamoto ya binti yake anaumwa lakini kwa hospitali za pale Venezuela hazikufanikiwa kumtibu hivyo ilihitajika kupelekwa nje ya nchi.

Pamoja na kwamba yeye ni mtu muhimu sana kwa usalama wa Maduro,lakini shida yake hiyo haikutatuliwa,licha ya kuona akina Maduro na watu wengine mashuhuri wakipeleka familia zao Cuba kutibitiwa.

Bodi gadi namba mbili huyu kama Mabodi wengine hali zao za maisha zilikuwa ni ngumu sana, na kuendesha maisha yao ya kila siku ilikuwa ni tabu sana,huku wakishuhudia akina Mduro wakila kuku kwa mrija

Bodi gadi namba tatu,huyu ni bodi gadi wa raisi wa awamu iliyopita,ambaye hapo awali alikuwa na matumaini kwamba Maduro atakuwa bora zaidi lakini kinyume chake ameona chini ya Maduro nchi ya Venezulea ikizidi kuporomoka siku hadi siku

Pentagon,Marekani

Ilikuwa raisi sana kwa makachero wa Marekani kutumia changamoto hizi za hawa watu muhimu kwa ulinzi wa Maduro kufanya nao dili na hatimaye kumkwapua Maduro

Mtihani wa kwanza ilikuwa ni kwa namna gani watapenyeza ushawishi wao kwa hawa jamaa,lakini kama unavyojua penye nia hapa kosi njia,basi kwa yule ambaye binti yake anachangamoto ya afya,ofa ilikuwa ni kumpeleka Marekani kutibiwa pamoja na uhakika wa kuangalia afya yake kwa maisha yake yote, pamoja na familia za hao mabodi gadi watatu ziende uhamishoni Marekani.

Pili,hawa watu watatu watapewa utambulisho mwingine na kutafutiwa sehemu nyingine ya kuishi ikiwa na ofa ya pesa mingi sana

Wadau walikuwa tayar kufanya kazi,lakini swali lilikuwa je kwa kiasi gani Wamarekani wanaaminika katika ahadi zao,kwanza ilibidi mambo kadhaa yafanyike ili kudhibitisha kweli watu wa Pentagon wana maanisha walichokisema.

Kwanza familia za wale mabodi gadi watatu zilihamishwa kutoka Venezuela kwenda sehemu nyingine nje ya Venezuela,baada ya zoezi hili kukamilika,hapo sasa kuaminiana kulianza kati ya makachero wa Marekani na Caracas.

Wakati fulani kuna mipango ilikaa fresh kwa kumteka Maduro lakini ghafla yakatokea mabadiliko ya nyendo za Maduro,ikabidi mpango uhairishwe kwa kipindi fulani,kwani Maduro alianza zile sarakasi za leo kalala huku mara kesho kule,kwahiyo ilikuwa changamoto kubwa.

Wakati huo huo ili kufanikisha lile zoezi vizur,ilibidi waongezwe watu wengine watano wote hao wanahusika na ulinzi wa raisi,jumla squad ikawa na watu 8.

Mungu si Ertugrul bey,siku ya siku,yule bodi gadi namba moja akapewa jukumu la kusimamia ulinzi wa raisi wa usiku,hapo sasa ndio akajua raisi leo analala wapi,na anapitia wapi, ndio maana kama ulisikia kamanda wa Pentagon anajigamba kwamba alijua Maduro anakula nini,analala wapi na anafanya nini [it was inside job]

Kuna siku miongoni mwa wale walinzi ambao waliongezwa kwenye ile dili nao wakawa wanaingia shifti za usiku.

Siku ya shughuli watu miongoni mwa watu nane wale walikuwa gadi usiku,hapo wazee wa Pentagon wakaingia kazini,kule ndani security camera zilikuwa zimezimwa,na kulikuwa na bodi gadi wawili tu nje ya chumba cha Maduro

Kwa jinsi mchongo ulivyopangwa ndio maana hakukuwa na upinzani wowote kutoka kwa walinzi wa Maduro,Maduro akiwa amelala anashtuka usingizini anakutana na wazee wa Pentagon wapo geto huku walinzi wake wawili wakiwa chini ya Ulinzi

Inasemekana wale mabodi gadi walio kula mchongo waliondoka pamoja na squad ya makachero wa Marekani

Huo ndio mpango mzima uliotokea,sometime hauhitaji kuangamiza miji na watu wake ili umpate mlengwa unachohitaji ni watu sahihi watao fanya jambo sahihi.

Ndio maana niliwahi kusema katika nyuzi zangu,katu huwezi kupindua nchi kama vikosi vya ulinzi na usalama vipo pamoja na dola,utafanikiwa endapo hivyo vikosi vikiamua kutokwenda sawa na Serikali iliyopo.

Ni hayo tu!
 
Mwamba huko zako huko Kiwalani kwenye chumba cha kupanga jirani na adriz unajifanya CIA.
 
Kwa Hisani ya Kwa Mtogole CIA Station Chief.
 
Mkuu,watu zaidi ya 80 wameuawa wakiwemo wanajeshi wa Cuba walioenda Venezuela kwa mission maalum
Marekani walitaka weka kituo Ili wabebe na viongozi wengine akiwemo makamu wa rais na waziri wa ulinzi,ila jeshi la Venezuela walipambana marekani wakaamua kuondoka,japo usaliti kweli upo
 
Ripota kumtokea bunju , kazi nzuri sana👏
 
Mkuu,watu zaidi ya 80 wameuawa wakiwemo wanajeshi wa Cuba walioenda Venezuela kwa mission maalum
Marekani walitaka weka kituo Ili wabebe na viongozi wengine akiwemo makamu wa rais na waziri wa ulinzi,ila jeshi la Venezuela walipambana marekani wakaamua kuondoka,japo usaliti kweli upo
Unaweza ukawa sahihi,mimi nazungumzia pale makachero walipoenda kumkwapua Maduro kwenye makazi yake
 
Unaweza ukawa sahihi,mimi nazungumia pale makachero walipoenda kumkwapua Maduro kwenye makazi yake
Usaliti upo,ila zilipogwa mtaani kuelekea ikulu nafikiri,maana fikiria utoke magomeni kwenda ikulu kumdaka rais katika tension iliyokuwepo Venezuela ulinzi haukosekani
Na ilikua akilala around kambi za jeshi
 
My people,​

Habar iliyopo duniani sasa hivi ni kukamatwa kwa Maduro wa huko Venezuela, hapa nakuletea habar za kikachero kutoka Caracas.

Pentagon,Marekani

Mpango mzima ulianza mwaka mmoja uliopita pale ambapo Marekani ilikuwa inatafuta washirika wa kuwasaidia kufanikisha hii operation

Caracas,Venezuela

Kuna bodi gadi mmoja muhimu sana ambaye amekuwa na MADURO takribani kwa miaka 6,huyu bwana alikuwa na changamoto ya binti yake anaumwa lakini kwa hospitali za pale Venezuela hazikufanikiwa kumtibu hivyo ilihitajika kupelekwa nje ya nchi.

Pamoja na kwamba yeye ni mtu muhimu sana kwa usalama wa Maduro,lakini shida yake hiyo haikutatuliwa,licha ya kuona akina Maduro na watu wengine mashuhuri wakipeleka familia zao Cuba kutibitiwa.

Bodi gadi namba mbili huyu kama Mabodi wengine hali zao za maisha zilikuwa ni ngumu sana, na kuendesha maisha yao ya kila siku ilikuwa ni tabu sana,huku wakishuhudia akina Mduro wakila kuku kwa mrija

Bodi gadi namba tatu,huyu ni bodi gadi wa raisi wa awamu iliyopita,ambaye hapo awali alikuwa na matumaini kwamba Maduro atakuwa bora zaidi lakini kinyume chake ameona chini ya Maduro nchi ya Venezulea ikizidi kuporomoka siku hadi siku

Pentagon,Marekani

Ilikuwa raisi sana kwa makachero wa Marekani kutumia changamoto hizi za hawa watu muhimu kwa ulinzi wa Maduro kufanya nao dili na hatimaye kumkwapua Maduro

Mtihani wa kwanza ilikuwa ni kwa namna gani watapenyeza ushawishi wao kwa hawa jamaa,lakini kama unavyojua penye nia hapa kosi njia,basi kwa yule ambaye binti yake anachangamoto ya afya,ofa ilikuwa ni kumpeleka Marekani kutibiwa pamoja na uhakika wa kuangalia afya yake kwa maisha yake yote, pamoja na familia za hao mabodi gadi watatu ziende uhamishoni Marekani.

Pili,hawa watu watatu watapewa utambulisho mwingine na kutafutiwa sehemu nyingine ya kuishi ikiwa na ofa ya pesa mingi sana

Wadau walikuwa tayar kufanya kazi,lakini swali lilikuwa je kwa kiasi gani Wamarekani wanaaminika katika ahadi zao,kwanza ilibidi mambo kadhaa yafanyike ili kudhibitisha kweli watu wa Pentagon wana maanisha walichokisema.

Kwanza familia za wale mabodi gadi watatu zilihamishwa kutoka Venezuela kwenda sehemu nyingine nje ya Venezuela,baada ya zoezi hili kukamilika,hapo sasa kuaminiana kulianza kati ya makachero wa Marekani na Caracas.

Wakati fulani kuna mipango ilikaa fresh kwa kumteka Maduro lakini ghafla yakatokea mabadiliko ya nyendo za Maduro,ikabidi mpango uhairishwe kwa kipindi fulani,kwani Maduro alianza zile sarakasi za leo kalala huku mara kesho kule,kwahiyo ilikuwa changamoto kubwa.

Wakati huo huo ili kufanikisha lile zoezi vizur,ilibidi waongezwe watu wengine watano wote hao wanahusika na ulinzi wa raisi,jumla squad ikawa na watu 8.

Mungu si Ertugrul bey,siku ya siku,yule bodi gadi namba moja akapewa jukumu la kusimamia ulinzi wa raisi wa usiku,hapo sasa ndio akajua raisi leo analala wapi,na anapitia wapi, ndio maana kama ulisikia kamanda wa Pentagon anajigamba kwamba alijua Maduro anakula nini,analala wapi na anafanya nini [it was inside job]

Kuna siku miongoni mwa wale walinzi ambao waliongezwa kwenye ile dili nao wakawa wanaingia shifti za usiku.

Siku ya shughuli watu miongoni mwa watu nane wale walikuwa gadi usiku,hapo wazee wa Pentagon wakaingia kazini,kule ndani security camera zilikuwa zimezimwa,na kulikuwa na bodi gadi wawili tu nje ya chumba cha Maduro

Kwa jinsi mchongo ulivyopangwa ndio maana hakukuwa na upinzani wowote kutoka kwa walinzi wa Maduro,Maduro akiwa amelala anashtuka usingizini anakutana na wazee wa Pentagon wapo geto huku walinzi wake wawili wakiwa chini ya Ulinzi

Inasemekana wale mabodi gadi walio kula mchongo waliondoka pamoja na squad ya makachero wa Marekani

Huo ndio mpango mzima uliotokea,sometime hauhitaji kuangamiza miji na watu wake ili umpate mlengwa unachohitaji ni watu sahihi watao fanya jambo sahihi.

Ndio maana niliwahi kusema katika nyuzi zangu,katu huwezi kupindua nchi kama vikosi vya ulinzi na usalama vipo pamoja na dola,utafanikiwa endapo hivyo vikosi vikiamua kutokwenda sawa na Serikali iliyopo.

Ni hayo tu!
alisikika mkaanga mihogo toka buza !
 
Back
Top Bottom