Haikuhitaji Marekani kutumia ndege na tanks kuiangamiza Caracas, walihitaji walinzi watatu tu kufanikisha mchongo mzima

Usaliti upo,ila zilipogwa mtaani kuelekea ikulu nafikiri,maana fikiria utoke magomeni kwenda ikulu kumdaka rais katika tension iliyokuwepo Venezuela ulinzi haukosekani
Na ilikua akilala around kambi za jeshi
walichofanya makachero wa Marekani ni kuwachanganya wana usalama wa Venezuela

Walilipua kwengine kuwashughulisha wanausalama huku wao wakiwa upande mwengine,inasemwa baada ya makachero kutoka kwenye ardhi ya Venezuela ndio wadau wakajua Presdar hayupo,ni mkakati wa hali ya juu sana
 
Umeamua kutuletea mambo ya kwenye movies sasa.

Hizi stori za kutumia udhaifu wa bodyguards niliziona kwenye movie ya Soz ya Uturuki ile ya akina Yavuz Karasu😁
 
Machawa wakileta habari jua ni uongo

Hayaaminiki haya mapimbi!
 
Marekani wakitaka kufanya unyakuo Kwa Rais yeyote wanafanya bila tabu.
Labda baadhi ya nchi kama Russia, North Korea, Japan, German
 
Tukio limetokea tarehe 3, leo tarehe 5 mtoa post unatuletea classified information kutokea Kamanyola- Sinza.
 
Ndio maana niliwahi kusema katika nyuzi zangu,katu huwezi kupindua nchi kama vikosi vya ulinzi na usalama vipo pamoja na dola,utafanikiwa endapo hivyo vikosi vikiamua kutokwenda sawa na Serikali iliyopo.
Sahihi kabisa..

Huyu jamaa kasalitiwa na watu wa karibu.

Ila yote hayo kajiletea mwenyewe kwa ujinga wake
 
Marekani inawanyima usingizi mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…