Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Siwezi kutoa maoni, kwa sababu hili ni jambo tu ambalo wananchi watalijadili kuanzia kesho asubuhi.
Kwa hiyo hainihusu mimi kutoa maoni.
Flyover zimejengwa,barabara zimejengwa,shule zimejengwa. Sawa,lakini lakini sasa lazima human rights record ya huyu Rais na serikali yake hii.
Na unapoelekea kipindi cha Uchaguzi unamtaka Rais mnyenyekevu ambaye anapiga goti kuwasalimu watoto wa chekechea.
Anakuwa mnyenyekevu,anamtanguliz Mungu mbele,mpaka Uchaguzi ukiisha,akipata urais,ndio anapumua kwa urahisi na anaanza udikteta kwa vile ameshapata mandate.
Sasa hapa hata mtu akiwa mbobezi wa siasa itakuwa vigumu kutoa maoni kinyume na huu Mkutano Mkuu wa CCM ulivyoamua leo.
Inakuwa kama vile ipo hatari Fulani iwapo Rais Samia asipothibitishwa mapema.
Rais ambaye kwa ishara xote inaonyesha kwamba atachaguliwa kuwa mgombea baadaye mwaka huu,lakini bado anaharakisha.
Kwa hiyo sijui Tundu Lissu akishinda Uchaguzi kesho naye pia anaweza kujitangaza kuwa mgombea urais.
Haya mambo hayanihusu. Siasa za Tanzania hazijawahi kunihusu.
Ukimtangaza mgombea urais wa CCM mapema inaweza kutokea deterioration katika human rights situation.