Haileti maana mtu amekufa Mtwara muanze kuhangaika kusafirish mwili hadi Arusha, au mtu kafa Kagera muanze kuhangaika kupeleka mwili Mbeya

Haileti maana mtu amekufa Mtwara muanze kuhangaika kusafirish mwili hadi Arusha, au mtu kafa Kagera muanze kuhangaika kupeleka mwili Mbeya

Hii mada imechelewa kuletwa,ilitakiwa iletwe mwezi kama huu miaka miwili iliyopita, means yalikua ni makosa kutembeza ile kitu nchi nzima nhe!,ilikuwa iwe straight kinondoni cementry, no pale pamejaa...mabwepande
Wew ni mijinga mno na utabaki mjjnga dunianin na mbinguni

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Fanya hivyo wewe na ukoo wako sisi wengine tuache.
Ukifa lazima uzikwe nyumbani, hatuwezi kuzikwa kama wadudu sisi sio wadudu hata kama ni mfu. Yote hayo huwa tunafanya kama heshima ya aliekufa, ishara ya upendo na kujali, hatuwezi kurudisha uhai lakini tunatamani kuwa angekuwa hai tunatamani kuonesha kuwa tulimpenda tulimthamini, alikuwa wa kwetu hatuwezi kumtupa tu kama mnyama hata kama amekufa.
 
Back
Top Bottom