Uchaguzi 2020 Haileti mantiki

Uchaguzi 2020 Haileti mantiki

Hawa ndiwo wawakilishi waliochaguliwa na wananchi, wananchi wanaipenda sana ccm, sasa nchi yetu inaenda kuwa kama ulaya
ƙariɓu 36% ƴa waɓunge wenu mnasema wamepita ɓila ƙupingwa ,sasa sijui wataenɗa ƙumwongoza nani maana hawajamchagua hao wananchi mnao sema wanaipenɗa ccm , swali mnaposema ƙapita ɓila ƙupingwa je huƴo waƙumpinga au ƙumƙataa aliƙuwa nani ƙama si huƴo mwananchi mliƴe mnƴima haƙi ƴaƙe ƴa ƙumpata ƙiongozi anaƴe mtaƙa👎shame😢😢
 
Hii ni matokeo ya wasomi tulio nao.

Hatuwezi kufanya chochote.Tuliwasomesha ili watusaidie,na kwa upeo wa elimu zao,wameona hii ndiyo njia bora ya kufanya.Sisi ni nani kuwakatalia?
 
Back
Top Bottom