Haileweki kama sasa CHADEMA ni wapinzani au waganga njaa. Maana hata njaa walizotegemea kupozwa hazijawatoa mrithi. Wajanja wachache wameshiba kidogo

Upinzani sio kuwa mpinge kila jambo.

Upinzani sio kukomaa na kushikana mashati.

Lakini sio kwa kuendekeza njaa na kuonesha wazi kuwa una njaa.

Njaa za kushibisha matumbo njaa!

Wananchi wanaona kwa macho. Sasa mmeambulia nini? Wakiopata chochote kitu ni Mbowe na wajanja wachache.
Mke wa Mbowe aliyeachwa pole sana.
 
Mbowe kujirudi na kuwa muungwana kwa Rais na Serikali ni jambo jema sana.

Sasahivi Mbowe amekuwa akitoa kauli za kumsifu Mama na juzi akihojiwa kuhusu kuingia barabarani alijibu kiungwana kuwa kuingia barabarani sio suluhisho .Pia aliwaambia vijana wa Chadema kama wanajua maana ya kuingia Barabarani .

Binafsi nimeona AKILI KUBWA YA MBOWE AMEONA YA NINI KUHANGAIKA NA WATU WASIOJITAMBUA, AMEKAA RUMANDE KARIBIA MWAKA NA HAKUNA ALIYEINGIA BARABARANI SASA YA NINI KUENDELEA KUJITOA UFAHAMU WAKATI KUNA FURUSA YA KUYAJENGA MAMBO YAKE NA SERIKALI ILIYOPO.

MH Mbowe safi sana PAMBANIA FAMILIA YAKO
 
Kiukweli kuelewa kwasasa ni ngumu kwani bado vikao halali vinaendelea ikulu watakapokomea ndipo tutajua uvumilivu jambojema
 
Upinzani sio kuwa mpinge kila jambo.

Upinzani sio kukomaa na kushikana mashati.

Lakini sio kwa kuendekeza njaa na kuonesha wazi kuwa una njaa.

Njaa za kushibisha matumbo njaa!

Wananchi wanaona kwa macho. Sasa mmeambulia nini? Wakiopata chochote kitu ni Mbowe na wajanja wachache.
Kazi yako iko Shakani?
 
Siyo waganga njaa, ni waganga wa kienyeji
 
Idiot as I said before your Mbowe must go,he doesn't deserves to be chairman anymore.
So pathetic, Mbowe is there to stay and there is nothing that you can do about it.
Hakuna kitu kinachofurahisha kama mpinzani wako anapochukia unavyoendesha mambo yako, it simply means that you're doing your things contrary to what they wish.
 
The day will come when we will remove him forceful.
 
Upinzani sio kuwa mpinge kila jambo.

Upinzani sio kukomaa na kushikana mashati.

Lakini sio kwa kuendekeza njaa na kuonesha wazi kuwa una njaa.

Njaa za kushibisha matumbo njaa!

Wananchi wanaona kwa macho. Sasa mmeambulia nini? Wakiopata chochote kitu ni Mbowe na wajanja wachache.
Mind your own fakin life.

Nyau ww
 
Back
Top Bottom