Haina haja ya kusema ukifa uzikwe wapi acha watu waaamue wenyewe

Haina haja ya kusema ukifa uzikwe wapi acha watu waaamue wenyewe

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Binadamu akifa tayari mwili wake unakuwa ushakuwa mbolea.

Basi watakaokuepo usiwapangie waache waamuee wenyewe kama wanazika au wanasafirisha au wanachoma , binafsi watz wengi wanasema watupwe msikltuni ili viumbe vingine vipate chakula .na nature iendelee.
 
Kama una nguvu/pesa ruksa tu kusema ila kama hauna kitu waache watu waamue wakuzike wapi? Maana kuna gharama za usafiri na vinginevyo Kama upo tayari kuvilipa kabla haujafa toa tu maagizo sio mbaya
 
Kama una nguvu/pesa ruksa tu kusema ila kama whauna kitu waache watu waamue wakuzike wapi? Maana kuna gharama za usafiri na vinginevyo Kama upo tayari kuvilipa kbala haujafa toa tu maagizo sio mbaya
Haina haja ya kusema tutakuzika Popote tunaweza hata kukuchoma Moto au. Kutupa Mwili wako porini ili funza wapate chakula
 
Binadamu akifa tayari mwili wake unakuwa ushakuwa mbolea.

Basi watakaokuepo usiwapangie waache waamuee wenyewe kama wanazika au wanasafirisha au wanachoma , binafsi watz wengi wanasema watupwe msikltuni ili viumbe vingine vipate chakula .na nature iendelee.
Ubinafsi ni kuwaachia watu wengine mzigo wa kuamua wewe uzikwe wapi.
 
Ukishakufa Tyr umekufa wewe haupo tena na sisi
Maaumuzi yako ya wapi uzikwe yanaweza kusababisha usumbufu sana.
 
Haina haja ya kusema tutakuzika Popote tunaweza hata kukuchoma Moto au. Kutupa Mwili wako porini ili funza wapate chakula

Wewe sasa ndio unabidii utupwe porini mwili wako, ustaharabu upo na umewekwa vizuri kwa nn? Sasa utupwe porini
 
Back
Top Bottom