DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Haina haja ya kusema tutakuzika Popote tunaweza hata kukuchoma Moto au. Kutupa Mwili wako porini ili funza wapate chakulaKama una nguvu/pesa ruksa tu kusema ila kama whauna kitu waache watu waamue wakuzike wapi? Maana kuna gharama za usafiri na vinginevyo Kama upo tayari kuvilipa kbala haujafa toa tu maagizo sio mbaya
Ubinafsi ni kuwaachia watu wengine mzigo wa kuamua wewe uzikwe wapi.Binadamu akifa tayari mwili wake unakuwa ushakuwa mbolea.
Basi watakaokuepo usiwapangie waache waamuee wenyewe kama wanazika au wanasafirisha au wanachoma , binafsi watz wengi wanasema watupwe msikltuni ili viumbe vingine vipate chakula .na nature iendelee.
Ubinafsi ni kuamua uzikwe wapi maana wewe utakuwa ushakuwa mboleaUbinafsi ni kuwaachia watu wengine mzigo wa kuamua wewe uzikwe wapi.
Ubinafsi ni kufikiri nitaamua kuzikwa wakati hujui kama hata nitakufa.Ubinafsi ni kuamua uzikwe wapi maana wewe utakuwa ushakuwa mbolea
Haina haja ya kusema tutakuzika Popote tunaweza hata kukuchoma Moto au. Kutupa Mwili wako porini ili funza wapate chakula