Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Kwa mujibu wa takwimu zisizo rasmi matumizi ya simu nchini Tanzania yamefikia karibu Wananchi Milioni 30 hadi 40.
Kwenye hao wanaotumia simu. Matumizi ya simu janja yaaani smartphones yanaweza kufikia watu milioni 17.
Pia takwimu hizi zinasema karibu asilimia 90 ya Watanzania wanaamini katika dini ( Ukristo na Uislamu)
Kwa takwimu hizi ingawa sio rasmi sana. Ukifanya haya utawafanya Watanzania kuzuia uchaguzi.
1. Kutengenezea audio na video clips za matamko ya Nape Nnauye na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Longido wakizungumza namna CCM wanavyoshinda uchaguzi kiharamu alafu clips hizo zikasambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikiwa kwa mfumo wa paid ads ( WhatsApp, Facebook, Instagram, Tiktok na X) ili ujumbe wa uchaguzi unavyonajisiwa kuwafikia Watanzania wengi hasa Vijana.
2. Kuwashauri tu Maaskofu na Masheikh ( Kuunga mkono maandamano ya kupinga uchaguzi bila mabadiliko ya Katiba na Sheria na Wakatoa matamko rasmi.
Mfano hapa unaweza kuzungumza na Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) ambao wanaofahamika kusimamia Haki miaka yote na Wakatoa tamko kuwa Wataongoza au kushiriki Maandamano ya Amani kushinikiza Mabadiliko ya Katiba na Sheria za Uchaguzi ili tufanye uchaguzi huru na haki.
Wanaouliza Uchaguzi utazuiwaje haya ndo majibu kwao. Haitaitaji kuwa na mabomu au silaha za kupigana na askari. Haitahitaji kuwa na majeshi ya kupigana na polisi. Njia hizi mbili tu zitazuia uchaguzi Coming October, 2025.