Pre GE2025 Haina haja ya kutumia nguvu sana. Hivi vitu 2 tu vitawafanya Watanzania kuzuia Uchaguzi hapo Oktoba, 2025

Pre GE2025 Haina haja ya kutumia nguvu sana. Hivi vitu 2 tu vitawafanya Watanzania kuzuia Uchaguzi hapo Oktoba, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kumbuka pia katika makundi iliyosema wapo wanachama wa CCM pia.
 
Hii nchi itakombolewa na watanzania wenyewe muda ukifika, muda bado ila ipo siku wa mwisho atakua wa kwanza. Hii nchi sio mali halali ya CCM ni mali yetu sote siku zinakuja wataishi kama digi digi.
Hili ni taifa huru, unamaanisha udai uhuru kwa nani?
 
Kumbuka pia katika makundi iliyosema wapo wanachama wa CCM pia.
Hatq mimi ni mwanachama hai wa CCM ila naunga mkono NO REFORM NO ELECTION.

Kwenye maslahi ya Taifa kwangu ni Tanzania kwanza sioo CCM kwanza
 
Kila mtu atakufa kwa wakati wake. Hadi ninapojitoa hivi kwa ajili ya nchi yangu jua tu nipo tayari kwa yote.
Haupo tayari kufa wewe ungekua tayari kufa Kwa ajili ya tanzania usingekua hai mpaka Sasa hivi acha maigizo mtandaoni
 
Back
Top Bottom