Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Ohhoo, kuna bwege ushamsikiliza wewe siyo bure!Swali katiba ya nchi nani ameisaini, swali la ziada kwanini wagombea huzunguka kuomba kura kwa wananchi
Kwanini huwa mnaenda maporini wakati wa uchaguzi swali fikirishi kwanini mmeliomba jeshi la wananchi kulinda uchaguzi mwaka huu, 2025Ohhoo, kuna bwege ushamsikiliza wewe siyo bure!
Hili ni taifa huru, unamaanisha udai uhuru kwa nani?Hii nchi itakombolewa na watanzania wenyewe muda ukifika, muda bado ila ipo siku wa mwisho atakua wa kwanza. Hii nchi sio mali halali ya CCM ni mali yetu sote siku zinakuja wataishi kama digi digi.
Hatq mimi ni mwanachama hai wa CCM ila naunga mkono NO REFORM NO ELECTION.Kumbuka pia katika makundi iliyosema wapo wanachama wa CCM pia.
Hayo ni maslahi ya CDMHatq mimi ni mwanachama hai wa CCM ila naunga mkono NO REFORM NO ELECTION.
Kwenye maslahi ya Taifa kwangu ni Tanzania kwanza sioo CCM kwanza
Haupo tayari kufa wewe ungekua tayari kufa Kwa ajili ya tanzania usingekua hai mpaka Sasa hivi acha maigizo mtandaoniKila mtu atakufa kwa wakati wake. Hadi ninapojitoa hivi kwa ajili ya nchi yangu jua tu nipo tayari kwa yote.
Wakati wangu ukifika na mie nitakufa tuHaupo tayari kufa wewe ungekua tayari kufa Kwa ajili ya tanzania usingekua hai mpaka Sasa hivi acha maigiz9 mtandaoni
Basi hunamsada wowote kwenye taifa ni walewale tu kondooWakati wangu ukifika na mie nitakufa tu