Hainaga ushemeji tunakulaga

Nikifika sehemu nikikuta huu wimbo unapigwa mabinti na wavulana wanawehuka ndio naamini kweli nimezeeka! Kinachoimbwa sielewi nasikia kelele tu na watu kukata viuno kama pangaboi!
Kipindi mdundiko unapita mitaani ulikuwa hujazaliwa?
 
Zamu ya nani Leo? Zmu ya Mani fongo,zamu yako itafika usihofu baharia wangu. Juma kapiga ,Alex kapiga john kapiga.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…