Hainaga ushemeji tunakulaga

Hainaga ushemeji tunakulaga

Msanii alijaribu kuelezea uhalisia wa mahusiano ya vijana wa zama hizi.ukiwa na mwenza ukisafiri kosa
 
Nikifika sehemu nikikuta huu wimbo unapigwa mabinti na wavulana wanawehuka ndio naamini kweli nimezeeka! Kinachoimbwa sielewi nasikia kelele tu na watu kukata viuno kama pangaboi!
Umri ukienda chief, hutapigiwa kengele ila utajikuta unazidi kujisogeza kando na baadhi ya mambo

Ukija kwy lugha na burudani zao ndio kabisa...utaishia kupasua ngoma ya sikio bure kama utaendekeza kuwafuatilia na bado usielewe wanaongea nini.
 
Hawa sina tatizo la uoga katika mambo yangu, ila linapokuja suala la "MUDA" huwa naufyata, ndio maana najitahidi sana kukimbizana nao kila dk, sk au saa.
Maana kuna siku unaweza kutwa unatukanwa we unashangilia tu. Achana kabisa na hii kitu MUDA.
 
ha ha ha ha ipo siku utaelewa tu walete wadogo zako kwako
 
Back
Top Bottom