Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Nasikiaga wanakulaga wanatafunaga wanamezaga. ...Huu wimbo Wa manfongo sijaulewa.kipi hakinaga ushemeji?,na kinaliwaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikiaga wanakulaga wanatafunaga wanamezaga. ...Huu wimbo Wa manfongo sijaulewa.kipi hakinaga ushemeji?,na kinaliwaje?
Hainaga ushemeji hiyo! [emoji41]najuaga ile zima taaa
tunakulagaaHainaga ushemeji hiyo! [emoji41]
patamu tamuhapo kati
Pia ww huwa una over -lupe,,,tunakulagaa
Muulize ana bei ganihapana naogopa kuliwa
Anataka ufafanuzi wa vitendoNi kweli kabisa hujui[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Kwa vitendo sawaAnataka ufafanuzi wa nadharia
Umri ukienda chief, hutapigiwa kengele ila utajikuta unazidi kujisogeza kando na baadhi ya mamboNikifika sehemu nikikuta huu wimbo unapigwa mabinti na wavulana wanawehuka ndio naamini kweli nimezeeka! Kinachoimbwa sielewi nasikia kelele tu na watu kukata viuno kama pangaboi!
Ndio hiyohiyo zinafanana....chukua!najuaga ile zima taaa
Hawa sina tatizo la uoga katika mambo yangu, ila linapokuja suala la "MUDA" huwa naufyata, ndio maana najitahidi sana kukimbizana nao kila dk, sk au saa.Umri ukienda chief, hutapigiwa kengele ila utajikuta unazidi kujisogeza kando na baadhi ya mambo
Ukija kwy lugha na burudani zao ndio kabisa...utaishia kupasua ngoma ya sikio bure kama utaendekeza kuwafuatilia na bado usielewe wanaongea nini.
Dah... Kwani hayazungumziki?[emoji41]hapana naogopa kuliwa
Hata wewe. ?Dah... Kwani hayazungumziki?[emoji41]
KHuu wimbo Wa manfongo sijaulewa.kipi hakinaga ushemeji?,na kinaliwaje?
[emoji85]Yaani shemaji yako waweza kula
"Ukitaka kula basi na wewe uliwe kidogo" - JKHata wewe. ?