dongo jeusi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 248
- 210
aonekana anaipenda sana hiyo[emoji108] hii mbona ujaweka
[emoji15]wanaume mkuje
Vipi Mwifa jaman na wewe unatumia kwani hizo[emoji15]
Hilo neno haswaa!Inategemeana na unae chati nae, unachati na mdogo wako, au mpenzi wako au mtu wa karibu au sio wa karibu. Kiufupi zote zinatumika tu tena vizuri.
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41] mimi natumia hiyo tu.Ndio maana natumiaga hii tu[emoji160] when necessary
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41] mimi natumia hiyo tu.
Hapo napokuwa nimeqoute mwanaume ila nikimqoute mwanamke kuna emoj zake mzee unalegeza kidogoHa ha ha ha mzee unafunga vioo kabisaa hutak utani
Kwani kuna ubaya gan ukitumia hizo emojLeo siongelei wanaume wa Dar tu, leo ni wote wenye vijitabia vya kutuma Emoji za kipuuzi mbaya zaidi wanatuma hadi kwa wanaume.
Wewe mwanaume rijali kamwe huwezi kuwa na akili ya kutumia hizi Emoji kamwe ;.
View attachment 529309
Inamana wew unaposema hutumii imoji ila unatumia wasap kwa busines,,,sas nkulize swali je hujui kama kuna facial expression moja wapo ni kama hizo kutumia imoji na wat mkaelewana vzuri tu,,,namashaka utakuwa na tatizo la utindio wa ubong wew[emoji28] [emoji28] [emoji28] aya apo nmekucheka kuna tatizo??Mwanaume hutakiwi kutumia emoji zozote kabisaaaa, i use whatsapp kwaajili ya business only, i don't use for socially issues
Ha ha ha ha umeona enhee emoji ile yangu nakuwa namkumbusha aende kuogaHapo napokuwa nimeqoute mwanaume ila nikimqoute mwanamke kuna emoj zake mzee unalegeza kidogo
[emoji106][emoji106][emoji106]Inamana wew unaposema hutumii imoji ila unatumia wasap kwa busines,,,sas nkulize swali je hujui kama kuna facial expression moja wapo ni kama hizo kutumia imoji na wat mkaelewana vzuri tu,,,namashaka utakuwa na tatizo la utindio wa ubong wew[emoji28] [emoji28] [emoji28] aya apo nmekucheka kuna tatizo??