Haipendezi kwa mwanaume kutumia 'emoji' hizi za WhatsApp

Haipendezi kwa mwanaume kutumia 'emoji' hizi za WhatsApp

Even[emoji8] [emoji7] .....mwanaume mwenzako anakutumia emoji hizi et amependezewa na post yako uliyotuma kwenye group...yeye hivi je dada yake atatumia emoj gani?
 
maxresdefault.jpg
 
Wabongo bhana!Emoji hizi bhana za kike...mara magari haya...ni ya kike...mara vinywaji hivi bhana ni vya kike...
Hivi siku mkiwa na teknolojia ya kutengeneza simu au magari si mtaya label ME au KE kabisa...
 
Kazi kweli. Vijana sasa hivi wanaishi maisha ya kuigiza balaa. Hizo sidhani kama zina relationship na uanaume au uanamke. Kama unatabia fulani ni unayo tu hata uwe mgumu kama beberu
 
Leo siongelei wanaume wa Dar tu, leo ni wote wenye vijitabia vya kutuma Emoji za kipuuzi mbaya zaidi wanatuma hadi kwa wanaume.

Wewe mwanaume rijali kamwe huwezi kuwa na akili ya kutumia hizi Emoji kamwe ;.

View attachment 529309
Mmh, mwanaume rijali ni yule mwenye uwezo wa kusimamisha nguzo na ikasambaza umeme hizo zingine mbwembwe tu!!!!
 
Wabongo bhana!Emoji hizi bhana za kike...mara magari haya...ni ya kike...mara vinywaji hivi bhana ni vya kike...
Hivi siku mkiwa na teknolojia ya kutengeneza simu au magari si mtaya label ME au KE kabisa...
Nashangaa bana, mbona wanataka kukomplicate maisha kwa vitu vidogo,
 
Kila emoji ina tafsiri/maana yake...

Weka basi emoji anayo/anazo takiwa kutumia MWANAUME..

Sijui ulipata ama uligundua nini kwa wale waliotumia emoji ulizo orodhesha katika uzi wako...!!
 
Back
Top Bottom