Haipendezi kwa mwanaume kutumia 'emoji' hizi za WhatsApp

matusi ya nini? mbona hujiamini?
acha bana kuchafua hali ya hewa humu ndani
Nilio tukanwa mimi umeona ni mapambio sio matusi lakini niliosema mimi ndo matusi. Haya basi naomba msamaha.
 
Itakua hata hizi cm zimetengenezwa kwa ajili ya wanawake sio
 
Ha ha ha ha umeona enhee emoji ile yangu nakuwa namkumbusha aende kuoga
Halafu una roho mbaya hujawahi nitumia hako ka emoji na mimi ukanikumbusha kuoga. [emoji125] [emoji125]
 
Tehteh unapomqoute mtoto wa kike lazima uwe na smile kama hizi [emoji4] ikiwezekana unaenda mbali na vi kiss [emoji8][emoji8] sasa huyu mtoa mada anashindwa kuelewa kila emoj inapahala pake
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Kweli kabisaa chief,nikitumiwa hiyo hua sijibu kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…