Lakini ingekua busara kama ungewapa ujumbe unawakilisha ktk kuzitumua hizo maana kuna muazini mmoja kule tanga alikua anapokea pesa kutoka kwa washabiki wa mpila ili atangaze mechi yao.
Ujanja ambao alikua anautumia ni kusema vina sikuhizi hawana adabu wanataka eti mimi niwatangazie mechi yao itakayochezwa j.5 ktk uwanja wa mkwakwani saa 10 : 30 kati ya timu jembe na nafaka sijuwi hawajuwi kama spika za msikti hizii lakini ukija kuangalia unakuta teyari ashatanga na tangazo limejamilika.
Hivyo isije ikawa na wewe umetumia njia hiyo kuzitumia hizo Emoji baba zima lijari