Haipendezi kwa mwanaume kutumia 'emoji' hizi za WhatsApp

Haipendezi kwa mwanaume kutumia 'emoji' hizi za WhatsApp

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,053
Reaction score
3,259
Leo siongelei wanaume wa Dar tu, leo ni wote wenye vijitabia vya kutuma Emoji za kipuuzi mbaya zaidi wanatuma hadi kwa wanaume.

Wewe mwanaume rijali kamwe huwezi kuwa na akili ya kutumia hizi Emoji kamwe ;.

f18e8553d14b18c2ce42e2f907738a74.jpg.png
 
Kucheka mpaka jino la 'mtinzo' inatumika emoji ipi! wapo wakonongo wa emoji! hajui hizo emoji sawa sawa.
------------
I guess alitaka kuonyesha aina gani ya simu anatumia
 
Back
Top Bottom