Sijajua itakuwa lini ila hawa watu watarudiana na kuishi pamoja hadi uzeeni. Kwasababu mbalimbali za kisayansi ni kuwa hawa watu wanapendana sana (true love) na endapo wakafungiwa sehemu kwa dakika chache lazima wazisahau tofauti zilizotokea. Upande wa mwanamke (Wema) ndo wenye mapenzi makubwa zaidi kuliko kwa diamond. Tuwaombee hawa wenzetu wazimalize tofauti zao maana kwa sasa nafsi zao zitakuwa zinalilia kuunganishwa tena.
NB: Huu uchunguzi ni huru na wenye uhakika 100% kama unataka kujua kwanini kiundani nitumie PM