HAIPINGIKI: Diamond & Wema kurudiana

Martini Kadinda naona Unataka kufanya Biashara Kupitia Diamond Etii Nasikia Tangu Jamaa Aachane Na Dadayako Usikiki tena.Mods Tuondoleeni nyuzi Kama Hizi
 
Kwanini kujadili maisha ya watu tibia chafu mtu ana mke wake zali anaishi naye ninyi mnataka kutenganisha ndowa za watu?
 
Aya nimekuelewa sheikh yahya
Hakuna asiyetaka hili litokee kwa maslahi mapana ya Taifa. Jipe muda mkuu utapata majibu hapahapa au kupitia vyombo vingine vya habari. Hii couple itarudi kwa kishindo kikubwa.
 
Hahaha

Ndio maana taifa linaangamia....

Kwa maslahi ya taifa??


Hakuna asiyetaka hili litokee kwa maslahi mapana ya Taifa. Jipe muda mkuu utapata majibu hapahapa au kupitia vyombo vingine vya habari. Hii couple itarudi kwa kishindo kikubwa.
 
Kuachana au kurudiana kwao kuna faida au manufaa gani kwako?
Acha nye nye nye shughulika na maisha yako. Waache wenyewe washajijengea jina, jenga lako.
 
Dada tuliza mzuka hii couple inarudi kwa kishindo. Ni huyo Zari anatakiwa aachie madaraka kwa amani au vinginevyo iundwe serikali ya mseto hapo Madale.

Ni umaskini alionao ndio unaongea haya au?

Mwanamke matusi kumtukana hadi Mama D kisa sijui nyota, sijui nini kweli hata angekuwa mwanamke wa mwisho unaona angeishi madale?

Wewe unayependana nawe upo nae mumekumbatiana au nawe mchuma labda nduguye w au w mwenyewe.

Unaonyesha tamaa ya mali, ulimwacha eti nyota hivyo kaa hayo uko uko ulipo.

Eti Zari yupo wapi leo krismasi?
 
Acha ubishi jenga hoja imara. Huu uchunguzi umenigharimu sana muda na pesa ili kutetea maslahi mapana ya taifa. Uzalendo kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…