HAIPINGIKI: Diamond & Wema kurudiana

Diamond yuko zake Mbudya na Wa ubani wake Zari watu wanaota kurudiana na Wema. Kwani Luis Munana vp na kusilimishwa alisilimishwa
 
Kama ni baba wa kambo mbona unavyoandika kama mwanamke mmbea?
 
😀😀😀😀😀
 
Diamond yuko zake Mbudya na Wa ubani wake Zari watu wanaota kurudiana na Wema. Kwani Luis Munana vp na kusilimishwa alisilimishwa

Mnamibia alikimbia baada ya besidei kuona anayedai wake kaenda kupumzika na mshindibwetu wa big brother mchekeshaji wa kukopi pesti huko insta idi.

Hana mtu anashinda anatukana mtotonwa Dee ndio umbali aliofikia wiki hii kumtamani hadi anabwatuka na kwenda kuazima magari aonyrshee kuwa yake toka kwa wanaomlala.
 

Aaagh umeandika uwiiii mbavu zangu umemaliza.

Kalipwa huyo au ni yeye kaja kutafuta sapoti ya JF hajui kuna wanaojitambua humu.
 
Na hizi nimezikuta mtandaoni wanasema za siku mbiki tatu hizi eti zinaonyesha nini?



 
Yao hao bado wanapendana sanaaaa.... ila kuna shetani mchawi alipita kato yao ndo ikatokea hivyo. 1 day yes!!!! watakuwa pamoja tena. km kuna mpenzi wangu nilimuacha but nashindwa kumsahau yaan ht nifanyeje bado tuu sijui alinipa ka libwata
 
Sili, makombo sisi ni simba tukishakula maini tunaachia fisi /tai /m, mwitu
 
Sili, makombo sisi ni simba tukishakula maini tunaachia fisi /tai /m, mwitu
Hii itakuwa mara ya pili huyu Simba kula makombo. Tatizo la mwanamke (Wema) ni kutaka kushindana na mwanaume (Diamond) ambapo isingewezekana kushinda. Hilo ndo kosa la kiufundi alilofanya Wema. Akichezea tena hii nafasi nyingine itakula kwake. Namshauri wakisharudiana akubali kuwa yeye ni mwanamke na hataweza kumshinda mwanaume kwahiyo utiifu wake ni nguzo. Kimsingi kwa muda huu anaotarajia kurudi madarakani ajifunze baadhi ya mambo toka kwa Zari.
 


Sikia Martin Kadinda, hii promo kamfanyie dada yako kwani Wema bado hajatulia kila kukicha anavuliwa chupi na midume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…