Naisujaki Lekangai JF-Expert Member Joined Aug 19, 2012 Posts 1,340 Reaction score 1,377 Mar 21, 2017 #2 Comedy ya anne kansiime hiyo bila shaka. Huyu dada anatakiwa kupiga msasa matamshi yake, ana tatizo kubwa la 'l' na 'r'.Lorry atasema Rolly create atasema cleate nk.Comedy hainogi kama unaharibu matamshi.
Comedy ya anne kansiime hiyo bila shaka. Huyu dada anatakiwa kupiga msasa matamshi yake, ana tatizo kubwa la 'l' na 'r'.Lorry atasema Rolly create atasema cleate nk.Comedy hainogi kama unaharibu matamshi.