Ukweli upi ambao wewe unao alafu mimi SinaHuwezi kuelewa wewe mtu mwenyewe unaishi vijijini huko hata south afrika hujawahi kuishi ukaona maisha ya watu weupe
sanasana unalinganisha maisha kwa kuona wale mapdri wa kizungu walioletwa huku afrika unadhani wanaona mko nao sawa, wakati mara nyingi wanaletwa huku wakifanya skendo huko wanakuja kuwaficha huku
hizi imani zimewapofu kuuona ukweli mchungu
Kwahiyo unataka tuache kwenda kanisan kwakuwa papa ni mzungu?Msichotaka kukubali ni kwamba, hata Vatican pia kuna Siasa katika masuala haya ya Papa. Huu ni Ukweli mchungu Sana.
Ungejua ukweli ungeshaana na mambo ya diniUkweli upi ambao wewe unao alafu mimi Sina
Kwahiyo hapo unamtetea huyo mzungu au unampinga huyo mzungu?
Kuandika hujui unataka ujadili diniUngejua ukweli ungeshaana na mambo ya dini
ila umeamua kujizima data.....
Huu ndio upofu wenyewe, unatafuta visababu visivyo na msingi kubishana, wakati ujumbe umefika.....Kuandika hujui unataka ujadili dini
Ungeshaana ndo nini