Hata Nukes zikitumika zote Dunia ya Mungu itabaki nakwambia. Hatuwezi kumtia Mungu hasara kiasi cha kufuta mataifa hayo. Wapo watakaosaliaIbaki kusema tu viongozi wanaona kama mzaha kuhusu tatizo la ukraine akiwemo Biden na Zelesky,madhara ya tatizo kila Raia anayeshiriki tatizo hilo lazima aguswe, raia hasa wa wamarekani walizoea na kuzoeshwa hivyo kwamba taifa lao linapoingia vitani wao ni kuangalia kwenye tv kama movie kwa safari hii wajiandae ,wakichelewa kumshawishi Biden aindokane na ushiriki wake Ukraine ,vita ya nuclaer siyo nzuri na inapofikia kutumika ni mhusika kuona kupuuzwa kwa kiwango kikubwa sana,hakutakuwa na mshindi pande zote mbili yaani Russia na USA ila mataifa hayo yatafutika kwenye ramani ya dunia.
Ibaki kusema tu viongozi wanaona kama mzaha kuhusu tatizo la ukraine akiwemo Biden na Zelesky,madhara ya tatizo kila Raia anayeshiriki tatizo hilo lazima aguswe, raia hasa wa wamarekani walizoea na kuzoeshwa hivyo kwamba taifa lao linapoingia vitani wao ni kuangalia kwenye tv kama movie kwa safari hii wajiandae ,wakichelewa kumshawishi Biden aindokane na ushiriki wake Ukraine ,vita ya nuclaer siyo nzuri na inapofikia kutumika ni mhusika kuona kupuuzwa kwa kiwango kikubwa sana,hakutakuwa na mshindi pande zote mbili yaani Russia na USA ila mataifa hayo yatafutika kwenye ramani ya dunia.
Me mwenyewe nawashangaaga sana.Sijui kwanini hawa the so called world giants hawatakagi kukaa chini na kusuluhisha migogoro yao
Kwani lazima dunia iwe na superpower mmoja si kila mtu awe superpower kwenye upande aliopo
Mfano wakubaline tu kuwa US awe superpower wa West na Russia awe superpower wa East na washirikiane
Multipolar world hio ndio USA haitaki, anataka UNIPOLAR world.Yeye ndio awe superpower mpk pumzi anataka aigawe yeye.Sijui kwanini hawa the so called world giants hawatakagi kukaa chini na kusuluhisha migogoro yao
Kwani lazima dunia iwe na superpower mmoja si kila mtu awe superpower kwenye upande aliopo
Mfano wakubaline tu kuwa US awe superpower wa West na Russia awe superpower wa East na washirikiane
Wit USA inavamia na kuua mamilioni ya watu huko Libya, Afghanistan,Iraq, Vietnam na Sasa iko inaiba Mafuta Syria etc uliwahi kupiga kelele sehemu yoyote Ile?Tanganyika inaivamia Zanzibar na kuchukua ardhi yake kwa mabavu, kisa imejitenga!na inataka kujiunga na Mauritius 🇲🇺, na mazuzu wa humu wanaona Russia ipo sahihi kuvamia nchi huru ya Ukraine 🇺🇦, na tuelewe wakati Ukraine ilikua sehemu ya USSR, nchi hii ndio ilisaidia mno hivi vyama vya ukombozi hasa hapa Africa na wengi wa viongozi wake wamesomea Ukraine!
Binadamu hajawahi kuwa na akili hivyo.Sijui kwanini hawa the so called world giants hawatakagi kukaa chini na kusuluhisha migogoro yao
Kwani lazima dunia iwe na superpower mmoja si kila mtu awe superpower kwenye upande aliopo
Mfano wakubaline tu kuwa US awe superpower wa West na Russia awe superpower wa East na washirikiane