Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Naona kama mna mdharau sana Mbowe kudhani ni mjinga kiasi cha kukubali mdahalo na T.Lissu. Hilo hatuwezi ruhusu Chama Cha Mapinduzi na Serikali haiwezi ruhusu.
Kisha na Chadema nayo itakataa na mwisho yeye mwenyewe pia atakataa. It will never happen. Hayo masuala ya mdahalo si utamaduni wetu na wala hayatakiwi. Mbowe si mjinga aje akubali jambo kama hilo.
Hivyo naandika hapa kwa uhakika kabisa kuwa suala la Mdahalo kati ya Lissu na Mbowe halipo na halitakuwepo kamwe. Hizo ni ndoto za Alinacha.
Serikali pia inafuatilia mgogoro huu kwa ukaribu. Sisi wana CCM wengi kwa asilimia kubwa tunaona Mbowe ndo anafaa kuwa Mwenyekiti Chadema. Lissu ataua Chama. Mbowe ni kiongozi wa kufaa kwa Chadema na ataweza kukiongoza vyema kuliko Mbowe.