Haithamkim amefanyaje?

Duhhhhh!!!!jamani Mungu amponye namuonea huruma mwanawe tu
 
Mwanamke Ana nyodo yule, sijapata kuona
Kibri Cha Uzima ila havinaga muda vile vitu amuulize Wema aliyesemaga hawezi panda daladala maana Sio hadhi yake kilichomkuta huko nyuma[emoji3526][emoji28][emoji28][emoji3526]alifuliaga mpk akawa anapanda Bajaj Kwa kificho,akaenda kukaa kijichi,akawa kama digidigi haonekani
Yatamkuta tu
 
My dear hata marehem ruge kwao wako vizuri lkn baadae walisarenda wakaomba msaada. Imagine unaumwa halafu unaambiwa matibabu ni 1.5m kwa siku, hapo lazima familia vichwa viwaume
Ndo nimemkumbusha hapo yaani Kuna magonjwa kibongo bongo bila kutembeza bakuli hutoboi ng'ooo!!!
Mimi Sasa hv Msanii wa kumchangia Riyama tu wengine Hawa,yakiwakuta watashaaa....mbonaaa
 
Ifike wakati tuombe gharama ya matibabu iwe rafiki na sio kuomba kuchangiana kwa gharama kubwa...; Hivi mtu wa kitaa aliyepigika atamlilia nani amchangie ? Sijaona hao wasanii wanaomba mashabiki wao wachangiwe.., au Kitaa yakikukuta wewe ni kuumia na Mungu Wako.....

Narudia tena ili wananchi tuweze kuishi kama Binadamu bila kutegemea ufadhili wala msaada (tena msaada wa masimango) tuhakikisha Taasisi zetu zinatoa huduma ipasavyo - Ikishindikana kabisa Ujira unaopatikana uweze kukidhi basic needs
 
nilisoma sehemu matibabu yake ni kiasi cha laki 7, nikasema kwa msanii na wasanii kwa umoja wao hili wanaweza limudu nimeshangaa wanavyo likwepa

Laki 7 [emoji15] sizani bhana yan washindwe laki 7 .. mbona jamaa uyo wa Mtei alie zaa nae kwao wako vizur tu sio watu wakukosa 700k ad ichangishwe na watanzania

Si ana korabo na Wazir msanii uyu kwe ata muheshimiwa kashindwa kumuwekea mdogo wake 700k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…