Haithamkim amefanyaje?

Haithamkim amefanyaje?

Laki 7 [emoji15] sizani bhana yan washindwe laki 7 .. mbona jamaa uyo wa Mtei alie zaa nae kwao wako vizur tu sio watu wakukosa 700k ad ichangishwe na watanzania

Si ana korabo na Wazir msanii uyu kwe ata muheshimiwa kashindwa kumuwekea mdogo wake 700k
FA amesema atatibiwa tayari watacover bill serikali
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe hawana hela mb.wa Hawa,wakiugua wanategemea serikali Kama watumishi wa umma tu
Anzia leo tusiwasikie wakitukana wasomi fullstop
Eti Nina hela na Nina jina nyokooo
Labda fedha haramu za masharti huwezi hata saidia nduguyo akiugua
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]km Kuna Watu badala ya kuwaonea donge tunatakiwa tuwaonee huruma ni wasanii na Watu maarufu Wana maisha ya hovyo mnoo àfu magumu
 
Naona Wasanii mbalimbali Wamepost wakisema kwamba anaumwa Watu watume pesa Achangiwe Bila kusema Shida ni nini

Huku Baadhi ya Comments zikisema Binti ambaye ni Msanii amekuwa akitumia Bangi na Kuvuta Shisha sana, je ni nini Hasa Kinamsibu?


Sisi tukiwambia tuna shida wanatwambia" Tafuta hela"

Sasa misaada ya nini tena?
 
Laki 7 [emoji15] sizani bhana yan washindwe laki 7 .. mbona jamaa uyo wa Mtei alie zaa nae kwao wako vizur tu sio watu wakukosa 700k ad ichangishwe na watanzania

Si ana korabo na Wazir msanii uyu kwe ata muheshimiwa kashindwa kumuwekea mdogo wake 700k
Ina maana Niiteboshen kakosa laki 7 ya kulipia? Au zile tattoo anachora bure?
Laki 7 kwa siku, kuna sindano anaichoma ndio inacost laki 7 na anachoma kila siku. Nimesoma hivyo sehemu
 
Hawana mbambamba? Kampuni nyingine za bima wanna roho nzuri kwenye kutafuta wateja,sio kuwahudumia. Na Wana tofauti gani na NHIF?
Tofauti ni price na coverage.....NHIF bundle zake zipo juu na unatibiwa kila hospital..Hii ya Strategy si kila hospital utatibiwa utapewa list ya hospital utazoenda....ila ndio bei rahisi sasa
 
Back
Top Bottom