FA amesema atatibiwa tayari watacover bill serikaliLaki 7 [emoji15] sizani bhana yan washindwe laki 7 .. mbona jamaa uyo wa Mtei alie zaa nae kwao wako vizur tu sio watu wakukosa 700k ad ichangishwe na watanzania
Si ana korabo na Wazir msanii uyu kwe ata muheshimiwa kashindwa kumuwekea mdogo wake 700k
Ina maana Niiteboshen kakosa laki 7 ya kulipia? Au zile tattoo anachora bure?Mtei Ni mme wake anachora sanaaa wasanii ma tattoo
🤣🤣🤣Kumbe hawana hela mb.wa Hawa,wakiugua wanategemea serikali Kama watumishi wa umma tuFA amesema atatibiwa tayari watacover bill serikali
Aaah kmmake 🙌🙌Yan mtu aamue yeye kuish kama dragon m ntoe pesa yangu apone? Bora nkabashir mech ulaya
Yaani Kuna magonjwa hata ndugu watatamani urest in peace maana unafilisi ukoo!!Ndo nimemkumbusha hapo yaani Kuna magonjwa kibongo bongo bila kutembeza bakuli hutoboi ng'ooo!!!
Mimi Sasa hv Msanii wa kumchangia Riyama tu wengine Hawa,yakiwakuta watashaaa....mbonaaa
So unashauri aliuze??Bill Nas na Range Rover lao so wamsaidie moja KWA moja?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]km Kuna Watu badala ya kuwaonea donge tunatakiwa tuwaonee huruma ni wasanii na Watu maarufu Wana maisha ya hovyo mnoo àfu magumu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe hawana hela mb.wa Hawa,wakiugua wanategemea serikali Kama watumishi wa umma tu
Anzia leo tusiwasikie wakitukana wasomi fullstop
Eti Nina hela na Nina jina nyokooo
Labda fedha haramu za masharti huwezi hata saidia nduguyo akiugua
We dada inaonyesha ni mswahiliswahili sana .🤣🤣🤣Kumbe hawana hela mb.wa Hawa,wakiugua wanategemea serikali Kama watumishi wa umma tu
Anzia leo tusiwasikie wakitukana wasomi fullstop
Eti Nina hela na Nina jina nyokooo
Labda fedha haramu za masharti huwezi hata saidia nduguyo akiugua
Hana Bima?Naona Wasanii mbalimbali Wamepost wakisema kwamba anaumwa Watu watume pesa Achangiwe Bila kusema Shida ni nini
Huku Baadhi ya Comments zikisema Binti ambaye ni Msanii amekuwa akitumia Bangi na Kuvuta Shisha sana, je ni nini Hasa Kinamsibu?
Kwahiyo mumewe apeche alolo,mchaga gani fala hivyo...au ni mchaga toleo la darMsanii anaimba mziki,ameolewa na niite bosheni Nadhani mchora tattoo yule kaka maarufu (watanisahihisha)...!!!
Mpumbavu mwenyewe
Sorry yaani moya kwa moyaaaBill Nas na Range Rover lao so wamsaidie moja KWA moja?
Ya NMB ikoje ?Nashauri watanzania tujiunge na mifuko ya bima ya Afya...NMB Wana bima ya Afya affordable..
Mwenyezi Mungu amponye.
Sisi tukiwambia tuna shida wanatwambia" Tafuta hela"Naona Wasanii mbalimbali Wamepost wakisema kwamba anaumwa Watu watume pesa Achangiwe Bila kusema Shida ni nini
Huku Baadhi ya Comments zikisema Binti ambaye ni Msanii amekuwa akitumia Bangi na Kuvuta Shisha sana, je ni nini Hasa Kinamsibu?
Laki mbili,baba,mama, watoto wa 2...ukiongeza mtoto mmoja unaongeza 80,...wanatumia Ile kampuni ya strategy...pitia tawi la NMB Wana maelezo mazuriYa NMB ikoje ?
Laki 7 [emoji15] sizani bhana yan washindwe laki 7 .. mbona jamaa uyo wa Mtei alie zaa nae kwao wako vizur tu sio watu wakukosa 700k ad ichangishwe na watanzania
Si ana korabo na Wazir msanii uyu kwe ata muheshimiwa kashindwa kumuwekea mdogo wake 700k
Laki 7 kwa siku, kuna sindano anaichoma ndio inacost laki 7 na anachoma kila siku. Nimesoma hivyo sehemuIna maana Niiteboshen kakosa laki 7 ya kulipia? Au zile tattoo anachora bure?
Hawana mbambamba? Kampuni nyingine za bima wanna roho nzuri kwenye kutafuta wateja,sio kuwahudumia. Na Wana tofauti gani na NHIF?Laki mbili,baba,mama, watoto wa 2...ukiongeza mtoto mmoja unaongeza 80,...wanatumia Ile kampuni ya strategy...pitia tawi la NMB Wana maelezo mazuri
Tofauti ni price na coverage.....NHIF bundle zake zipo juu na unatibiwa kila hospital..Hii ya Strategy si kila hospital utatibiwa utapewa list ya hospital utazoenda....ila ndio bei rahisi sasaHawana mbambamba? Kampuni nyingine za bima wanna roho nzuri kwenye kutafuta wateja,sio kuwahudumia. Na Wana tofauti gani na NHIF?
🤣🤣Unanitafuta longWe dada inaonyesha ni mswahiliswahili sana .