Haiti: Polisi waua watu wanne wanaoshukiwa kwa mauaji ya Rais Jovenel Moïse

Haiti: Polisi waua watu wanne wanaoshukiwa kwa mauaji ya Rais Jovenel Moïse

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Mkuu wa Polisi Nchini humo, Leon Charles, amesema watu wanne wanaoshukiwa kwa mauaji ya Rais Jovenel Moïse wameuawa na wengine wawili wamekamatwa

Kuuawa kwa Moïse na kujeruhiwa kwa Mkewe kulitarajiwa kuleta machafuko zaidi katika Taifa hilo ambalo tayari linakabiliwa na ghasia za magenge ya kihalifu, kuongezeka kwa Mfumuko wa Bei na maandamano ya wafuasi wa upinzani

Serikali ya Haiti imetangaza Hali ya Dharura kwa wiki mbili, na Waziri Mkuu wa Mpito, Claude Joseph, amesema Polisi na Wanajeshi wanasimamia Usalama

Pia soma > Haiti: Rais Jovenel Moise auawa akiwa nyumbani kwake. Mkewe ajeruhiwa

=====

Haiti’s security forces have killed four members of a group of “mercenaries” who assassinated President Jovenel Moïse in his home, police chief Leon Charles has said.

“The police is still in combat with the assailants,” Charles said in a televised briefing late on Wednesday, “We blocked them en route as they left the scene of the crime. Since then, we have been battling with them.” Two of the attackers had been detained. Of the rest he said: “They will be killed or captured”.

Haiti’s communications secretary, Frantz Exantus, had earlier said police had arrested the “presumed assassins” without providing any further details. Three police officers held hostage by the suspected gunmen were freed late Wednesday, Charles said.

The killing of Moïse earlier on Wednesday, and the wounding of his wife, was expected to bring more chaos to the unstable Caribbean country already beset by gang violence, soaring inflation and protests by opposition supporters who accused Moïse of increasing authoritarianism.

Interim prime minister Claude Joseph said the police and military were in control of security. The poorest country in the Americas, Haiti has a history of dictatorship and political upheaval.

Speaking on a local radio station, Claude Joseph confirmed that Moïse, 53, had been killed, saying the attack was carried out by an “armed commando group” that included foreigners.

In a televised national address, Joseph declared a state of emergency across the country, and made a call for calm. “The situation is under control,” he said.

In a later interview with the Associated Press, Joseph called for an international investigation into the assassination, said that elections scheduled for later this year should be held and pledged to work with Moïse’s allies and opponents alike.

“We need every single one to move the country forward,” Joseph said. He alluded to enemies of the president, describing him as “a man of courage” who had opposed “some oligarchs in the country, and we believe those things are not without consequences.”

According to the Haitian ambassador to Washington, Bocchit Edmond, Moïse’s killers claimed to be members of the US Drug Enforcement Administration (DEA) as they entered his guarded residence.

“This was a well-orchestrated commando attack,” Edmond told the Guardian. “They presented themselves as DEA agents, telling people they had come as part of a DEA operation.”

In videos circulating on social media, a man with an American accent is heard saying in English over a megaphone: “DEA operation. Everybody stand down. DEA operation. Everybody back up, stand down.”

Residents reported hearing gunshots and seeing men dressed in black running through the neighbourhood.

“It could be foreign mercenaries, because the video footage showed them speaking in Spanish,” Edmond said. “It was something carried out by professionals, by killers … But since the investigation has been just been opened, we prefer to wait on legal authorities to have a better assessment of the situation. We don’t know for sure, with real certainty, who’s behind this.

“This is an act of barbarity. It’s an attack on our democracy,” he said.

Edmond said he had asked the White House on Wednesday morning for US help in identifying and capturing the killers.

“We need a lot more information,” Joe Biden said later at the White House, calling the killing “very worrisome”.

In a written statement, the US president offered condolences and assistance. “We condemn this heinous act, and I am sending my sincere wishes for first lady Moïse’s recovery,” the statement said. “The United States offers condolences to the people of Haiti, and we stand ready to assist as we continue to work for a safe and secure Haiti.”

Source: The Guardian
 
Watu weusi wana matatizo mahali popote tulipo. Haiti nchi masikini kabisa katika bara la America. Mambo wanayoyafanya hawana tofauti Zaire ya sasa . Kisa asili yao. Tofauti kabisa na jirani zao wote
 
Watu weusi wana matatizo mahali popote tulipo. Haiti nchi masikini kabisa katika bara la America. Mambo wanayoyafanya hawana tofauti Zaire ya sasa . Kisa asili yao. Tofauti kabisa na jirani zao wote
Mexico, na US pia ni watu weusi. Iraq, Iran na Syria ni watu weusi. Hata Yugoslavia pia ni watu weusi. Huko Armenia na ndugu zao pale Azerbaijan pia ni weusi. Uturuki pia ni watu weusi...

Kwa nini mnapenda kuonesha watu weusi ni washenzi? Au ndio ule utumwa haujaondoka kichwani bado?
 
Mexico, na US pia ni watu weusi. Iraq, Iran na Syria ni watu weusi. Hata Yugoslavia pia ni watu weusi. Huko Armenia na ndugu zao pale Azerbaijan pia ni weusi. Uturuki pia ni watu weusi...

Kwa nini mnapenda kuonesha watu weusi ni washenzi? Au ndio ule utumwa haujaondoka kichwani bado?
Jiulize kwanini Haiti iko vile tofauti na jirani zao wote !!. Maisha ya Haiti bora hata hapa Tz . Itafute Haiti uijue
 
Back
Top Bottom