Haitoshi, Job Ndugai ajiuzulu na ubunge pia!

Hiyo ni kazi aliyopewa na wananchi
 
Muosha huoshwa. Muache naye anyanyasike. Kuteseka kwa zamu
 
Vipi kuhusu katibu mkuu kiongozi aliyefurushwa ndugu Bashiru Ally Kakurwa?

Unaweza kutuambia John Malecela hakurudi bungeni baada ya kuwa waziri mkuu?

Vipi kuhusu Lowassa baada ya kujiuzuru 2007 akiwa waziri mkuu hakurudi tena 2010 bungeni?

Kwa nini Jobo?
 
Asikuambie ntu tu tuuu, pesa tamu, asikuambie ntu tu tuuu, pesa tamu... Asikuambie ntu tu tuuu bia tamu⛹️.
 
Ongezea David Cleopa Msuya

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Mbona kuna mawaziri kibao wamewahi kuenguliwa na bado wako bungeni kama wabunge?

Lowassa alijiuzuru uwaziri mkuu lakini aliendelea kuwa mbunge wa Monduli mpaka alipoamua kugombea uraisi wa JMT.
 


Naunga mkono inaekea ni makusanyo ya pesa tu ndiyo tatizo hapa. Spika angetakiwa asiwe mbunge kabisa
 
Tanzania haijawai kuwa na Spika wa Bunge na badae akawa Tena mbunge na hii inamanisha mwisho wa hivi vyeo huwa ni kistaafu.
Samweli Sitta alikuwa Spika mwaka 2005 - 2010 na kisha akawa mbunge bila uspika japo alipewa uwaziri mwaka 2010 - 2015. hivyo sahihisha maelezo yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…