Masi Lambo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 532
- 360
Kenya ni Kenya na Tanzania ni Tanzani.Kenya inaendelea kupima na kupambana na korona wakati siye tunajidanganya imekwisha.
Leo hii wamegundua visa 147, hii inaonyesha Korona bado ipo na inaongezeka badala ya kupungua.
Najua wanaopenda kusikia habari nzuri wakati wa majanga kujiriwadha, na kama wenye akili ya kutuliza wajinga kwa uongo wanavyotaka, watapinga hili vikali.
Wapya 147 wakutwa na corona Kenya akiwemo mtoto wa mwaka mmoja.
Hivi wewe unawaamini kina Bashite na Stone? Jikinge wewe na familia yako korona ipo na inatafuna watu wewe ukitaka kujua kwamba ipo pitia page ya rais wa twita aka GOGOKI.Kenya inaendelea kupima na kupambana na korona wakati siye tunajidanganya imekwisha.
Leo hii wamegundua visa 147, hii inaonyesha Korona bado ipo na inaongezeka badala ya kupungua.
Najua wanaopenda kusikia habari nzuri wakati wa majanga kujiriwadha, na kama wenye akili ya kutuliza wajinga kwa uongo wanavyotaka, watapinga hili vikali.
Wapya 147 wakutwa na corona Kenya akiwemo mtoto wa mwaka mmoja.
Kenya inaendelea kupima na kupambana na korona wakati siye tunajidanganya imekwisha.
Leo hii wamegundua visa 147, hii inaonyesha Korona bado ipo na inaongezeka badala ya kupungua.
Najua wanaopenda kusikia habari nzuri wakati wa majanga kujiriwadha, na kama wenye akili ya kutuliza wajinga kwa uongo wanavyotaka, watapinga hili vikali.
Wapya 147 wakutwa na corona Kenya akiwemo mtoto wa mwaka mmoja.
Edit hapo kwenye kuzi uandike juziView attachment 1461748
Kuzi coco beach