Masi Lambo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 532
- 360
- Thread starter
- #21
Kawaambie waliofiwa na walio mahospitalini, kisha waulize wa Brazil wanao pukutika baada ya kuamini hivyo. Anyway, walio na busara wanajilinda, ila kinachoudhi watu ka nyie mkiipata hamtajua na mtaitambaza. Korona haijaisha hata waziri wa Afya na rais kasema hivyo, ila hilo linapitia masikioni kwa wapuuzi wote.Corona ipo vichwani mwa watu tu!
Tangu watu waipuuze corona, hofu zote zimekwisha. Hakuna cha koronya wala corona!
Corona ni ugonjwa wa akili. Na kadiri unavyoupa nafasi kichwani ndivyo unavyozidi kuugua.
Dawa ya corona ni kuipuuza corona!