Masi Lambo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 532
- 360
- Thread starter
-
- #21
Kawaambie waliofiwa na walio mahospitalini, kisha waulize wa Brazil wanao pukutika baada ya kuamini hivyo. Anyway, walio na busara wanajilinda, ila kinachoudhi watu ka nyie mkiipata hamtajua na mtaitambaza. Korona haijaisha hata waziri wa Afya na rais kasema hivyo, ila hilo linapitia masikioni kwa wapuuzi wote.Corona ipo vichwani mwa watu tu!
Tangu watu waipuuze corona, hofu zote zimekwisha. Hakuna cha koronya wala corona!
Corona ni ugonjwa wa akili. Na kadiri unavyoupa nafasi kichwani ndivyo unavyozidi kuugua.
Dawa ya corona ni kuipuuza corona!
Dah....acha ujinga bana.... Wakenya wanasababu zao...[emoji2960]Kenya inaendelea kupima na kupambana na korona wakati siye tunajidanganya imekwisha.
Leo hii wamegundua visa 147, hii inaonyesha Korona bado ipo na inaongezeka badala ya kupungua.
Najua wanaopenda kusikia habari nzuri wakati wa majanga kujiriwadha, na kama wenye akili ya kutuliza wajinga kwa uongo wanavyotaka, watapinga hili vikali.
Wapya 147 wakutwa na corona Kenya akiwemo mtoto wa mwaka mmoja.
Wajinga ni wale wanaofikiri korona imeisha eti Mungu kapambana, kinchoudhi wajinga hawa watasambaza kama wakiipata.Dah....acha ujinga bana.... Wakenya wanasababu zao....nasi tuna zetu...[emoji2960]World Bank Approves $1 Billion Financing for Kenya, to Address COVID-19 Financing Gap and Support Kenya’s Economy
TIme will tell, yetu macho, ila tu hatutaki kuambukizwa na wajinga wanaofikiri hamna korona kwa sababu hakuna anayepimwa.Tanzania hatuna visa vipya so kila mtu aamini KIVYAKE
Hata nzige waliishia Kenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tanzania ni kisiwa mkuu,huku gambe kama kawa...yaani kama hakuna kabisa huu ugonjwa.
Hakuna lolote. Sio kila takwimu unaimeza tu!waulize wa Brazil wanao pukutika
Kenya inaendelea kupima na kupambana na korona wakati siye tunajidanganya imekwisha.
Leo hii wamegundua visa 147, hii inaonyesha Korona bado ipo na inaongezeka badala ya kupungua.
Najua wanaopenda kusikia habari nzuri wakati wa majanga kujiriwadha, na kama wenye akili ya kutuliza wajinga kwa uongo wanavyotaka, watapinga hili vikali.
Wapya 147 wakutwa na corona Kenya akiwemo mtoto wa mwaka mmoja.
Mbona we hujafa na mitaani hatuoni vifo wala ndugu,rafiki pia. Kufa wewe kwanza ndo tuamini kua ugonjwa upo na unawaweza wabongoHivi ni hamuelewi au mnachagua cha kuelewa. Kutotangaza idadi ya wagonjwa haimaanishi ugonjwa haupo,mbona kila siku mnaambiwa hilo hamuelewi chukueni tahadhali ugonjwa upo na watu wanakufa.Angalizo tusiingize siasa.
Wao sio sisi!!!Hiyo ni wao sio sisi, Mungu wetu kakubali dua zetu, Alhamdulillah.
Nao Mungu awasaidie. Amin.
mwambie huyo.Kenya wana Njaaa si hatuna njaa we Hilo ushangai? Kenya Uganda Nzige walipita Tanzania hawakupita we Hilo ushangai? Tanzania ni nchi teule kimbilio la Afrikamashariki usilazumishe tufanane
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnajifanya kumjua mungu. Iyo anayewadanganya Mbona uchaguzi hamuachii mungu?Hiyo ni wao sio sisi, Mungu wetu kakubali dua zetu, Alhamdulillah.
Nao Mungu awasaidie. Amin.
Kama wewe, familia yako, jirani, mtaani kwako, ndugu na rafiki zako hamjambukizwa, wewe ndiye unajidanganya kwa kutamani watu wengine waambukizwe na kufa.Kenya inaendelea kupima na kupambana na korona wakati siye tunajidanganya imekwisha.
Leo hii wamegundua visa 147, hii inaonyesha Korona bado ipo na inaongezeka badala ya kupungua.
Najua wanaopenda kusikia habari nzuri wakati wa majanga kujiriwadha, na kama wenye akili ya kutuliza wajinga kwa uongo wanavyotaka, watapinga hili vikali.
Wapya 147 wakutwa na corona Kenya akiwemo mtoto wa mwaka mmoja.
Mnajifanya kumjua mungu. Iyo anayewadanganya Mbona uchaguzi hamuachii mungu?