Nakupenda sana lakini kuna kitu siwezi kukiacha!! Mh! Hii ni ngumu kumesa babaangu unless kiwe hakina ukwazo mkuuubwa kwa mpenzio. Mfano mpira. Lakini kama unapenda akina dada/kaka poa halafu unaconfess/ungama!!
...lol....mwj1 is that your confession mamaa?....
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa bora tu usiseme loh!kuna vitu vya ku confess na vingine ni bora uviache kama vilivyo...lol
mfano nakupenda saana,but nikiona mdada mwenye wowowo kukuzidi...naishiwa nguvu kabisaaa....i cant help it...lol
...noted,....hata ukibembelezwa 'ugeukie huku' unalalama eti unamalizia ukurasa mmoja...!....
sijaelewa....
Hahahahahah loh hapo umenipatia loh! Hapana bana nadhani sina kitu cha kumlinganisha nacho mwenzi wangu ingawa ninapenda sana novels na movies ila nafasi yake ipo.
Labda nijichunguze upya!
nakupenda sana lakini nikiona bafu na sabuni tu......
...mwj1,...hivi ushawahi tokewa na jambo ambalo baada ya kulitenda unashtukia loohh, mwenza wangu anakwazika nikifanya jambo hili...
mfano....; mara kwa mara anakushauri kwa faida yako, usichelewe sana kurudi nyumbani kwani kwake yeye anaona ni kigezo fulani muhimu cha tabia inayokubalika...lakini kwakuwa wewe una pendelea zaidi 'uhuru' wako, haupo tayari kubadilika...
that's what i mean kwa unyuzi huu,...
kuna watu hata wajitahidi vipi, wanajikuta wameteleza na kurudia kulekule...
...i hope bahati na mwanajamiione mmenielewa...
Mh hapa!
Nafikiri inategemea Mbu kwa mfano ukisema kuchelewa nyumbani kila siku hapana hiyo ni ngumu! Mara moja moja itaeleweka pengine umekutana na friend wa muda mrefu, mambo yanapamba moto ghafla imeshagota usiku mwingi.
Issue nyingine kama alivyosema The Boss awe mkweli kuwa akimwona mwanamke mwingine alojaaliwa kuliko, nadhani hii The Boss aiungamie utumboni kabisa maana moyoni, sauti inawezakuwa kubwa ikatoka mdomoni maana uko karibu
Lol Mbu uliulizwa nini kwani?! Usikute ulikuwa unaangalia mawowowo kama The Boss loh!...dahh, haya mwj1 umesomeka....nimekumbukia swali nililoulizwa first left bar -sakina, na soulmate wangu! hahahaha...!
Lol Mbu uliulizwa nini kwani?! Usikute ulikuwa unaangalia mawowowo kama The Boss loh!
Lakini ukifikiria sana unagundua kuwa hii thread ina mengi! Nakumbuka nlishawahimsikia mdada analalamika .... Hee eti G (huyu alikuwa mumewe) ananikataza nisiongee na Mwashoga! Hivi anaujua uswahiba wetu huyu?! Mtu amekuwa rafiki yangu tangu huko! Afu leo mwanaume atuachanishe!!! ..... Mbu hii thread hii!! Cjui!
...pamoja na kupendana saaaaaaana na mke/mume, binafsi nadhani kuna haja ya 'kuungama' kwa mwenza wako katika hatua za awali mfano;
"mwenzangu, pamoja na kukupenda saana mpaka usiku kucha silali, pia napenda pombe!"
au...
"ewe wa rohoni mwangu, usiponiona kwako...ujue barcelona na messi wameniteka akili!"
...au nyie mnaonaje wenzangu?...nyie mna confess vipi ili kuondosha 'kutokueleweka' kwa wapenzi wenu?
Haya banaaa pamoja na kumpenda saaanaaa pia unapenda sana na kandanda labda pia una mapenzi makali na 'nyagi pia lol! mapenzi unayachakachua tu ukija kushtuka penzi lote limepotea!!!!
dahhh, mwj1 nilipitiwa na kausingizi kidogo hapa...ngoja nikujibu ifuatavyo...
kesi ya 1stleft- arusha, nilishawahi muonya soulmate wangu mimi sio mtu wa
bar na pubs... sasa yeye akanilazimisha ati tukienda huko nitapata mtori safi kabisa...
matokeo yake nikajikuta namshangaa dada poa alivyokuwa ananishangaa...
sijui alinifananisha?
kuhusu mdada kukatazwa kuongea na shoga wake wa miaka nenda rudi, huwezi jua bana...
nitakupa mfano mmoja. mimi nawe tupo kwenye mahusiano...halafu nikakutambulisha kwa
best wangu ambaye pamoja na sifa zake za ucheshi, nakwambia nimetoka naye mbali sana huyu...
hata mademu wote alikuwa ananiunganishia yeye, ndio mtunza siri wangu huyu...
utaniruhusu kwa roho nyeupe niendelee nae urafiki bila mashaka?
Aksante BAK hili lako neno! Sina la kuongezea.
Afu umepotea jamani ni nini lakini kutupa wenzio jaka la moyo?!
Aksante sweetie kwa jhiki kipande maana asubuhi hii tulivu ah!! naburudika.Hahahahah lol! Nipo mpenzi MJ1, ila kuna wakati majukumu yanakuwa mengi hivyo nafasi ya kuingia humu inakuwa finyu sana.