Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 2,188
- 4,116
Mambo mengine ni usumbufu mkubwa kwa walaji. Haiwezekani kuzuia makampuni yenye walaji wengi kubadili-badili majina?
Hebu tuambie wewe umepata usumbufu gani? Maana yake yamebadilika maandishi tu kwako wewe mteja.Mambo mengine ni usumbufu mkubwa kwa walaji. Haiwezekani kuzuia makampuni yenye walaji wengi kubadili-badili majina?
Hio ilifutwa siku nyingi sana.Wengine wanatumia kukwepa kodi, days of grace zikiisha wanabadili majina.
Hii meza yangu hapa nilikuwa nimeandika tigo pesa. Sasa inabidi iwe mixx by yas. Na rangi inabidi niweke njano sana. Kuna wa kugharamia vibanda na kuta nzima. Pia nimepata usumbufu wa kiakili.Hebu tuambie wewe umepata usumbufu gani? Maana yake yamebadilika maandishi tu kwako wewe mteja.
Pole sana. Hilo haliepukiki.Hii meza yangu hapa nilikuwa nimeandika tigo pesa. Sasa inabidi iwe mixx by yas. Na rangi inabidi niweke njano sana. Kuna wa kugharamia vibanda na kuta nzima. Pia nimepata usumbufu wa kiakili.
Kwa kuongezea tu.Kampuni zinauzwa lazima wabadili Brand name.
Tigo - Millicom Group -Owner
Yas - Axian Group Honora and Rostam Azizi -Owners