Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Huu mfuno upo mkuu wanafunga hapa hapa unaanzia milión 6 hafi 12. Umeme ukikata unajiwasha kwa saa 24, unawasha chochote kuanzia friji ac na kila kitu kama kawaida.Kwenye umeme wa solar umeme unaozalishwa wakati wa jua huwa unatunzwa kwenye betri na mwingine unaendeela kutumika. Ikifika usiku wakati wa giza, ule uliotunzwa kwenye betri unaanza kutumika hadi pale jua litakapotokea tena.
Haiwezekani hivi kwenye umeme wa TANESCO. Mfano hapa panq mgao wa leo upo kesho haupo. Haiwezekani kupata betri ambalo linachaji wakati umeme upo. Ukikata unatumia umeme huo. Liwe la size tofauti. La kuanzia kuanziq kutumia nyumba nzima au lile la kuwasha vitu kama computer tu, TV, friji tu nk. Haiwezekani hili kufanyika?
Zile roof za tesla safi kabisa. Sema niliona review bei yake imesimama. Ukiwa na pesa system kama ile ndiyo mpango mzima. Hivi hamnaga hata portable ya kusema irun kompyuta kwa saa 24?Huu mfuno upo mkuu wanafunga hapa hapa unaanzia milión 6 hafi 12. Umeme ukikata unajiwasha kwa saa 24, unawasha chochote kuanzia friji ac na kila kitu kama kawaida.
Ila laiti ningekuwa na uwezo ningefunga solar panels za tesla zenye lifetime warranty. Zile mkuu huhitaji hata kuungwa na grid maana baadhi ya watu walioufunga Marekani mahitaji yanatosha mpaka inarudisha umeme mwingine kwenye grid hadi wanalipwa hasa kipindi cha summer.
Winter ndipo unasaidiana na grid ila sisi hatuna shida ya jua.
Kuna backup betri fulani kwa ajili ya pc niliziona zinaweza kuisupplyia umeme kwa saa 24. Ila mkuu watumia laptop chukua yenye chip ya m1 au 2 hutahitaji hiyo backupZile roof za tesla safi kabisa. Sema niliona review bei yake imesimama. Ukiwa na pesa system kama ile ndiyo mpango mzima. Hivi hamnaga hata portable ya kusema irun kompyuta kwa saa 24?
kariakoo kubwa sanaInawezekana, kama upo Dar nenda kariakoo kila kitu utapata.
Ukinunua betri 4 za N100, na inverter ambayo ni charger, utaweza kuwa unachaji betri umeme unapokuwepo na ukikatika inverter itatoa umeme unaotosha kuwasha TV, fan, fridge ndogo na taa kwa masaa 8 au zaidiKwenye umeme wa solar umeme unaozalishwa wakati wa jua huwa unatunzwa kwenye betri na mwingine unaendeela kutumika. Ikifika usiku wakati wa giza, ule uliotunzwa kwenye betri unaanza kutumika hadi pale jua litakapotokea tena.
Haiwezekani hivi kwenye umeme wa TANESCO. Mfano hapa panq mgao wa leo upo kesho haupo. Haiwezekani kupata betri ambalo linachaji wakati umeme upo. Ukikata unatumia umeme huo. Liwe la size tofauti. La kuanzia kuanziq kutumia nyumba nzima au lile la kuwasha vitu kama computer tu, TV, friji tu nk. Haiwezekani hili kufanyika?
Ipo hiyo, nami nishawahi kuwa na hiyo system. Ukiwa na inverter charger pamoja na battery unaweza. Wakati wa changeover from one source to the other huwezi jua. Wakati umeme wa TANESCO umekatika, utaona tu wenzio hawana umeme na wewe bado unao.Kwenye umeme wa solar umeme unaozalishwa wakati wa jua huwa unatunzwa kwenye betri na mwingine unaendeela kutumika. Ikifika usiku wakati wa giza, ule uliotunzwa kwenye betri unaanza kutumika hadi pale jua litakapotokea tena.
Haiwezekani hivi kwenye umeme wa TANESCO. Mfano hapa panq mgao wa leo upo kesho haupo. Haiwezekani kupata betri ambalo linachaji wakati umeme upo. Ukikata unatumia umeme huo. Liwe la size tofauti. La kuanzia kuanziq kutumia nyumba nzima au lile la kuwasha vitu kama computer tu, TV, friji tu nk. Haiwezekani hili kufanyika?
Muda utaongezeka kwa kupunguza load au kuongeza batteries capacity lakini zisizidi charging capacity ya inverter charger. Inver zinazosukwa mitaani huwa zinafanya kazi, lakini LOSES ARE NOT WELL CALCULATED..!! Ndo maana utazisikia zina huming sound kubwa and sometime they get heated up.Ukinunua betri 4 za N100, na inverter ambayo ni charger, utaweza kuwa unachaji betri umeme unapokuwepo na ukikatika inverter itatoa umeme unaotosha kuwasha TV, fan, fridge ndogo na taa kwa masaa 8 au zaidi
Muda unaweza kuongezeka kaa utawasha fridge kwa muda mfupi
Inawezekana vizuri kabisaKwenye umeme wa solar umeme unaozalishwa wakati wa jua huwa unatunzwa kwenye betri na mwingine unaendeela kutumika. Ikifika usiku wakati wa giza, ule uliotunzwa kwenye betri unaanza kutumika hadi pale jua litakapotokea tena.
Haiwezekani hivi kwenye umeme wa TANESCO. Mfano hapa panq mgao wa leo upo kesho haupo. Haiwezekani kupata betri ambalo linachaji wakati umeme upo. Ukikata unatumia umeme huo. Liwe la size tofauti. La kuanzia kuanziq kutumia nyumba nzima au lile la kuwasha vitu kama computer tu, TV, friji tu nk. Haiwezekani hili kufanyika?
Kumbe upo vizuri Kichwani!Ipo hiyo, nami nishawahi kuwa na hiyo system. Ukiwa na inverter charger pamoja na battery unaweza. Wakati wa changeover from one source to the other huwezi jua. Wakati umeme wa TANESCO umekatika, utaona tu wenzio hawana umeme na wewe bado unao.
Binafsi nilikuwa na inverter charger ya 1.5kW na nikawa nawasha TV, Taa zote (energy saver) na redio. Kwa backup time ya battery banks zangu, nilikuwa nakaa ON battery kwa 24 hrs.
Unaweza pia ukatumia Normal UPS za 1500VA ila ukaipunguzia mzigo. Uwe na external batteries. Uzuri wa UPS hizi zinahitaji battery zito 24Vdc (minimum 2 batteris za 12Vdc each conected in series). Kwako ni rahisi kupata, kuliko UPS kubwa zinazohitaji 400Vdc sawa na almost batteries 32 za 12Vdc each connected in series
JF kbbk..!!Kumbe upo vizuri Kichwani!