Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,419
- 2,940
Kwa hio Kama naenda mkoani niende na speed 70?Hili ni wazo ambalo nimelitafakari kutokana na ndugu zetu hawa kuendelea kuangamia kwa kasi ya kutisha.
Je, haiwezekani pikipiki kwa ajili ya bodaboda zikawa zinatengenezwa kwa mfumo maalum usiozidisha speed 70 kph, kwa usalama wao, pia kuondosha kabisa tatizo hili?
Kwani boda boda wanatibiwa bure?Kutumia gharama kubwa kwenye vifaa tiba na madawa wakati wa kutibu majeruhi
Mkuu mie namuunga mkono mleta Uzi...wabongo hatuendi bila kusukumwa...unajua nchi za wenzetu hata matuta ya barabarani hawana.Sisi tunadhibitiwa kama wanyama!!Upumbavu wa watu wachache hauwezi kutufanya watengenezaji wa pikipiki tutengeneze pikipiki Zenye spidi ya baiskeli
Ikibadilishwa matumizi tokea business kuwa personal au vice versa inarudishwa tena kiwandani?
Kwa nini kuwa na sheria ndumila kuwili? Tuache ubinafsi!
Kwa nini kama spidi 70 ni salama zaidi isiwe hivyo kwa wote?
Ajabu na kweli binadamu hupenda restrictions kwa wengine ila si kwao. Yaani ni mkuki kwa nguruwe tu.
Naunga mkono bodaboda cap (limited eg 70km/h) speed kwa zote bila exception. Magari cap (limited eg 80km/h) speed kwa wote bila exception.
Ingewezekana tungezibiti kwenye ages, Kuhusu kuwapa licences, lakini hawa watoto ndio shughuli zao, what to do! Governing speed may help 80% ya bodaboda ni vijana - 30.Na huu ndio ukweli.
Hapa suala ni udhibiti na elimu tu.
Hata ukifuatilia kwa ukaribu utaona askari wa usalama barabarani wanadeal na magari tu ila pikipiki huwa kama hawazioni
Mkuu mie namuunga mkono mleta Uzi...wabongo hatuendi bila kusukumwa...unajua nchi za wenzetu hata matuta ya barabarani hawana.Sisi tunadhibitiwa kama wanyama!!
Wazo zuri sana..serikali ikiamua inaweza kuweka hiyo sheria. Watengenezaji wao kuzitengeneza kwa spec hiyo ni rahisi sana kwao.Hili ni wazo ambalo nimelitafakari kutokana na ndugu zetu hawa kuendelea kuangamia kwa kasi ya kutisha.
Je, haiwezekani pikipiki kwa ajili ya bodaboda zikawa zinatengenezwa kwa mfumo maalum usiozidisha speed 70 kph, kwa usalama wao, pia kuondosha kabisa tatizo hili?
Utapitaje Mbugani Mikumi na hio speed si utaliwa na Simba na ChuiHili ni wazo ambalo nimelitafakari kutokana na ndugu zetu hawa kuendelea kuangamia kwa kasi ya kutisha.
Je, haiwezekani pikipiki kwa ajili ya bodaboda zikawa zinatengenezwa kwa mfumo maalum usiozidisha speed 70 kph, kwa usalama wao, pia kuondosha kabisa tatizo hili?
Ziwepo za, kibiashara kwa hawa vijana, na za binafsi au personal zisizo za kibiashara.Utapitaje Mbugani Mikumi na hio speed si utaliwa na Simba na Chui
Tatizo hawajui kuna break wala kanuni za kuendesha, labda serikali inafurahia kafaraZiwepo za, kibiashara kwa hawa vijana, na za binafsi au personal zisizo za kibiashara.
Nchi kuwa ya nani ni kujidanganya big time.Sisi ndo wenye nchi mtaishia jadili Hulu Hilo haliwezi pita over
Nendeni Morocco sio africaNchi kuwa ya nani ni kujidanganya big time.
Walamba asali na wajue si lazima leo.au kesho. Siku moja nchi itakuwa na total fix itakayo akisi u timamu wa wengine dhidi ya mambuzi.
Wako wapi wenye nafuu? Ni latra, ewura, loan board, tra, polisi, bunge, mahakama au Hawa?
View attachment 2448491
Hatukwenda Burundi kwa mwito wa waziri iwe Morocco kwa mwito wa kinyangarika?Nendeni Morocco sio africa