Haiwezekani pikipiki kwa ajili ya bodaboda zikiwa ni maalum kwa kuwa na speed isiyozidi 70?

Haiwezekani pikipiki kwa ajili ya bodaboda zikiwa ni maalum kwa kuwa na speed isiyozidi 70?

Hili ni wazo ambalo nimelitafakari kutokana na ndugu zetu hawa kuendelea kuangamia kwa kasi ya kutisha.

Je, haiwezekani pikipiki kwa ajili ya bodaboda zikawa zinatengenezwa kwa mfumo maalum usiozidisha speed 70 kph, kwa usalama wao, pia kuondosha kabisa tatizo hili?
Kwa hio Kama naenda mkoani niende na speed 70?

50kph town enyewe utakatwa mguu sembuse hio 70
 
Upumbavu wa watu wachache hauwezi kutufanya watengenezaji wa pikipiki tutengeneze pikipiki Zenye spidi ya baiskeli
Mkuu mie namuunga mkono mleta Uzi...wabongo hatuendi bila kusukumwa...unajua nchi za wenzetu hata matuta ya barabarani hawana.Sisi tunadhibitiwa kama wanyama!!
 
Sisi ndo wenye nchi mtaishia jadili Hulu Hilo haliwezi pita over
Ikibadilishwa matumizi tokea business kuwa personal au vice versa inarudishwa tena kiwandani?

Kwa nini kuwa na sheria ndumila kuwili? Tuache ubinafsi!

Kwa nini kama spidi 70 ni salama zaidi isiwe hivyo kwa wote?

Ajabu na kweli binadamu hupenda restrictions kwa wengine ila si kwao. Yaani ni mkuki kwa nguruwe tu.

Naunga mkono bodaboda cap (limited eg 70km/h) speed kwa zote bila exception. Magari cap (limited eg 80km/h) speed kwa wote bila exception.
 
Na huu ndio ukweli.

Hapa suala ni udhibiti na elimu tu.
Hata ukifuatilia kwa ukaribu utaona askari wa usalama barabarani wanadeal na magari tu ila pikipiki huwa kama hawazioni
Ingewezekana tungezibiti kwenye ages, Kuhusu kuwapa licences, lakini hawa watoto ndio shughuli zao, what to do! Governing speed may help 80% ya bodaboda ni vijana - 30.
 
Hakuna anaeandikiwa barua apande pikipiki

Umepanda kwa shida zako hivo omba ufike salama
Mkuu mie namuunga mkono mleta Uzi...wabongo hatuendi bila kusukumwa...unajua nchi za wenzetu hata matuta ya barabarani hawana.Sisi tunadhibitiwa kama wanyama!!
 
Hili ni wazo ambalo nimelitafakari kutokana na ndugu zetu hawa kuendelea kuangamia kwa kasi ya kutisha.

Je, haiwezekani pikipiki kwa ajili ya bodaboda zikawa zinatengenezwa kwa mfumo maalum usiozidisha speed 70 kph, kwa usalama wao, pia kuondosha kabisa tatizo hili?
Wazo zuri sana..serikali ikiamua inaweza kuweka hiyo sheria. Watengenezaji wao kuzitengeneza kwa spec hiyo ni rahisi sana kwao.
 
Hili ni wazo ambalo nimelitafakari kutokana na ndugu zetu hawa kuendelea kuangamia kwa kasi ya kutisha.

Je, haiwezekani pikipiki kwa ajili ya bodaboda zikawa zinatengenezwa kwa mfumo maalum usiozidisha speed 70 kph, kwa usalama wao, pia kuondosha kabisa tatizo hili?
Utapitaje Mbugani Mikumi na hio speed si utaliwa na Simba na Chui
 
Sisi ndo wenye nchi mtaishia jadili Hulu Hilo haliwezi pita over
Nchi kuwa ya nani ni kujidanganya big time.

Walamba asali na wajue si lazima leo au kesho. Siku moja nchi itakuwa na total fix itakayo akisi u timamu wa wengine dhidi ya mambuzi.

Wako wapi wenye nafuu? Ni latra, ewura, loan board, tra, polisi, bunge, mahakama au hawa?

IMG_20221216_094954_094.jpg
 
Back
Top Bottom