Haiwezekani wanafunzi wafaulu kwa 100%

Haiwezekani wanafunzi wafaulu kwa 100%

greenstar

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
390
Reaction score
53
Tusiilaumu serikali kwa matokeo ya FORM FOUR,kama kuna vijana wamepata division one,two,three & Four na hao wa Zeros ni haki yao pia.
Kuna watu wanapenda kuleta siasa kwenye masuala ya elimu,wazazi wanawajibika moja kwa moja kwa malezi duni ya watoto wao hasa hawa mabinti wanaoshinda guest na mabuzi,wavulana wana vuta bangi hadi wanaamua kuchora "ZOMBI" na "MESSI" ..turudi kwenye uhalisia na maadili ili kuokoa kizazi cha vijana wetu.
Zamani walimu walikuwa wanawauzia majibu wanafunzi na kuwafanyia mitihani,leo hii serikali inadhibiti masuala hayo ili kupata cream nzuri ya wasomi,sisi tunalalamika kwa kumunyoshea kidole WAZIRI ajiuzuli.
That's not FAIR,why other students performed excellently?

Let us play our role to build our nation by giving moral authority to our family !
 
Unataka matusi wewe?basi tizama post za hapa chini,ila mie sikutukani!
 
Sijui nikupe likes ngapi maana naona umehit pale pale nilipokuwa nafikilia

Hawa wanafunzi haiwezekani mtu aandike matusi kwenye mtihani utegemee aje kufaulu.
Mtu anachora zombi utegemee aje kufaulu
Mtu anaandika majibu kwenye karatasi na kuingia nayo class utegemee akikamatwa asifutiwe mitihani yake
Mtu anaingia na daftari kwenye chumba cha mtihani utegemee mwisho wa siku aje kufaulu
Mtu haendi shule au anaenda ila hafanyi kazi za darasani uje utegemee ipo siku atafaulu

Nawashukuru NECTA kubana mitihani maana wengi walikuwa wezi wa mitihani sasa wamebanwa unaona walivyo dondoka kuanzia hata zile shule bora wote wameanguka ndio uje useme serikali imefelisha wakati yenyewe haifanyi mtihani.

Kwanini waziri ajiuzulu wakati yeye hahusiki na kufeli kwa hao wanafunzi?
Tuache siasa tena kwa sasa naomba tu mabomu yareushwe kwa wote watao andamana

Nina swali moja zuri tu eti Waziri akijiuzulu matokeo yatabadilika wale wenye zero ziwe moja?
 
tunapenda sana kuwa na huruma ndiyo maana sheria zinavunjawa ili kufurahisha jamii,kuna MBUNGE alijisifia kupa As katika masomo 9 kama siyo aliiba mitihani ni nini?
 
Tusiilaumu serikali kwa matokeo ya FORM FOUR,kama kuna vijana wamepata division one,two,three & Four na hao wa Zeros ni haki yao pia.
Kuna watu wanapenda kuleta siasa kwenye masuala ya elimu,wazazi wanawajibika moja kwa moja kwa malezi duni ya watoto wao hasa hawa mabinti wanaoshinda guest na mabuzi,wavulana wana vuta bangi hadi wanaamua kuchora "ZOMBI" na "MESSI" ..turudi kwenye uhalisia na maadili ili kuokoa kizazi cha vijana wetu.
Zamani walimu walikuwa wanawauzia majibu wanafunzi na kuwafanyia mitihani,leo hii serikali inadhibiti masuala hayo ili kupata cream nzuri ya wasomi,sisi tunalalamika kwa kumunyoshea kidole WAZIRI ajiuzuli.
That's not FAIR,why other students performed excellently?

Let us play our role to build our nation by giving moral authority to our family !
Tatizo la lawama kwa waziri ni kuwa wameshindwa kuchukua hatua stahiki kwenye system ya elimu kabla ya wanafunzi kuufikia mitihani hiyo ya form 4 ,ujanja ujanja umekuwa ukitumika kuwapisha hao wanafunzi huku wakijua wengi wao hawastahili yaani wanachukua hata wasiojua kusoma na kuandika
 
Tusiilaumu serikali kwa matokeo ya FORM FOUR
Really? Hivyo umeona kiwango cha ufaulu mwaka huu ni fair kabisa?
Other students?you mean those under 0.4%? Are you with your head intactly? Which moral authority are you talking about?you are the only one on a millions,you can't carry the sea on your head!!don't even try my brother,we can't be proud at nonsense and tend to make a change at the same time same state,let the wrong be wrong,and right be right,so we can make a change one time one day.
 
Tatizo la lawama kwa waziri ni kuwa wameshindwa kuchukua hatua stahiki kwenye system ya elimu kabla ya wanafunzi kuufikia mitihani hiyo ya form 4 ,ujanja ujanja umekuwa ukitumika kuwapisha hao wanafunzi huku wakijua wengi wao hawastahili yaani wanachukua hata wasiojua kusoma na kuandika
hilo ni tatizo la mzazi na mwalimu mkuu kupeana rushwa..ndiyo maana nasisitiza maadili...Mimi nilipata DIVISION katika shule duni kwa kujisomea vitabu na kuwabana waalimu wanifundishe topic ambazo sijazielewa vizuri. Form Six nikajichanganya na maisha ya MKWAWA nikavuna mabua lakini nilijitambua uwezo wangu nikarudia paper ndiyo maana leo natafuta masters na PhD...So let us play our role,no way to forge exams !
 
Kuna mambo mengi sana ya kuangalia kuhusu ufaulu au kufeli kwa wanafunzi. Jitihada za mwanafunzi binafsi, mazingira wanayosoma, walimu, wajibu wa wazazi n.k. Lakini hivi inawezekanaje mtu afanyishwe mtihani wa practical wakati shule haina maabara wala hizo practicals hajawahi kufundishwa? Utampimaji mwanafunzi ambaye ana kila aina ya vifaa vya kujifunzia pamoja na walimu vs yule asiyekuwa na walimu wala vifaa? hapo kuna tatizo. Sule za kata haziwezi kushindana na shule za wenye nacho. Mfumo wetu hautoi haki sawa kwa watoto wa walalahoi walioko shule za kata na wale wa walalapoa walioko kwenye shule nzuri zenye kila aina ya walimu na vifaa. Lakini pia kizazi hiki kimekuwa cha vijana wasiopenda kujishughulisha na kazi. Pamoja na mazingira magumu ya kusomea lakini wanafunzi wengi ni wavivu wa kusoma na kutafuta hata material ya kusoma kwa wenzao walioko kwenye shule "nzuri". Kwa upande wa wazazi hawa nao wamesahau wajibu wao kwa watoto. Hawatoi ushirikiano wa kutosha kwa walimu. Walimu nao wengi wao hawatimizi wajibu. Mfano shule kongwe za serikali zina walimu wazuri sana kitaaluma lakini hawafundishi kazi imekuwa kurashia tu na kuwaomba watoto hela za tuition. Serikali ina wajibu mkubwa wa kuangalia vtabu vya kiada na ziada si kila chule itumie vitabu inavyoviona vinafaa, chemicals ziwepo kwenye maabara, walimu wapewe motisha na wasimamiwe vizuri ili wafanye kazi zao vizuri etc.
 
Bila longo longo nyiiiingi za ki bongo na kutetea upuzi tutaweza!!

Secrets of top KCSE secondary schools in Kenya

Posted in: Education

Share

The battle for top places in the national Form Four examinations begins in earnest as early as the first form, a nationwide survey by the Nation this week reveals.

Interviews with head teachers and other staff of leading secondary schools in Kenya revealed no magic bullet to top in KCSE but different methods that have been employed with success.

However, committed teachers, a disciplined student fraternity and use of incentives came up repeatedly.

?

Alliance high school

Working outside of the normal class hours, some schools complete their syllabus as early as January, allowing candidates to revise for the Kenya Certificate of Secondary Education (KCSE) exams for a whole year.

It is these professional tricks that have allowed schools with as high as 250 candidates to top the charts. In the results released on Wednesday, Maranda Boys High school in Nyanza topped the charts despite registering 261 candidates. It had a mean of 11.2.

Other that performed well despite a high number of candidates included Alliance High, (232) Nairobi School (279), Maseno (244), Limuru Girls (240), Pangani (267), Kibabii High (265), Njiiri’s (266), Meru (229), Nyambaria (262), Lugulu (294), Kabianga (270), Kakamega (276), St Joseph’s Boys, Kitale (330) and Kisii (315).

Working outside of the normal class hours, some schools complete their syllabus as early and January, allowing candidates to revise for the Kenya Certificate of Secondary Education (KCSE) exams for a whole year.

Maranda High school: Dedicated team saw us rise to the top of the deck

The secret behind the outstanding performance of Maranda High, according to the school’s Principal Boaz Owino, is hard work and dedication.

“I cannot say that I have the best teachers in this school, but I can confidently say I have the most dedicated team” he said.

He said they ensure that they cover the syllabus by June every year.

Good time management, Mr Owino said, enables them to cover the syllabus on time without having to sacrifice the time set aside for co-curricular activities and holidays.

“Once the syllabus is completed, students are then given time to revise,” he said.

He added that they had established a friendly working relationship between teachers and students which enables students to talk to teachers freely and ask questions to improve their weak areas.

Maranda’s head of academic affairs Saul Wera said they track their performance and they are always keen on improving their weak areas detected in both national and local examinations.

The school currently has a total of 1,540 students— 290 of whom will be sitting for their KCSE this year.

Starehe Boys’ centre: Random tests and remedial work did it

Starehe Boys’ Centre made a huge comeback in last year’s KCSE examinations by emerging fourth nationally, with a mean grade of A-.

The improved performance, as the Saturday Nation learnt, was as a result of a change in teaching technique.

As soon as the school performed below expectations in 2010, teachers said, ways were devised to increase teacher-student interaction.

School principal Paul Mugo said that students were also randomly assessed, away from the normal exam periods.

Mr Mugo said that the good performance registered by the school was as a result of changing the timing of issuing assessments to students and giving more attention to remedial teaching.

“What we did different last year is that the timing of evaluation changed and more time was given to remedial teaching,” he said.

According to school director Matthew Kithyaka, the boys were urged to use their extra time to study, such as during weekends and evenings.

And this was evident when the Nation visited the school on Wednesday.

No sooner had the students celebrated their 2011 achievements than they began filing away to their classes to resume work — in contrast with previous years.

Kenya High School: Saturday is a working day, but no tuition here

At Kenya High, ranked seventh with a mean of 10.6, the syllabus is covered by the beginning of May. Thereafter, candidates embark on group discussions which are guided by the teachers.

“It is a learner-driven approach with teachers only guiding to ensure the bar is raised to our standard,” said the school’s deputy principal Ms Lucy Mugendi.

Lower classes should have covered the syllabus by October of every year before embarking on the next class’ work.

The school timetable runs from 6.20am when students attend preps up to 7.20. During this time teachers of compulsory subjects attend to the students.

“They do this for free as we have not asked parents to pay us something,” says Ms Mugendi.

They then go to a 40 minute morning devotion before beginning normal classes which run up to four. They also go for evening classes, which run up to nine in the evening.

“We want our students to have enough rest. Indeed by 10.30pm the lights are out,” she says.

The school, which has a population of more than 1,000 students, has two games days, Mondays for Form Three and Four, and Friday for the lower classes.

Since the holiday tuition was banned by the government the school now has classes up to Saturday. “Classes begin at 7.30am and run up to 4pm.

“Teachers get a small token per session, but mostly it is sacrifice and love for the students that drive teachers,” said Ms Mugendi.
 
Tusiilaumu serikali kwa matokeo ya FORM FOUR,kama kuna vijana wamepata division one,two,three & Four na hao wa Zeros ni haki yao pia.Kuna watu wanapenda kuleta siasa kwenye masuala ya elimu,wazazi wanawajibika moja kwa moja kwa malezi duni ya watoto wao hasa hawa mabinti wanaoshinda guest na mabuzi,wavulana wana vuta bangi hadi wanaamua kuchora "ZOMBI" na "MESSI" ..turudi kwenye uhalisia na maadili ili kuokoa kizazi cha vijana wetu.Zamani walimu walikuwa wanawauzia majibu wanafunzi na kuwafanyia mitihani,leo hii serikali inadhibiti masuala hayo ili kupata cream nzuri ya wasomi,sisi tunalalamika kwa kumunyoshea kidole WAZIRI ajiuzuli.That's not FAIR,why other students performed excellently?Let us play our role to build our nation by giving moral authority to our family !
WEwe umeongea ukweli mtupu watuwanaojifanya hawauwoni watoto wangapi mida ya kwenda shule wanaenda chimbo,..pia tusisahau wako wingine hawajiwezi kabisa hata umfundishe vipi hakuelewi Hao nao walaumiwe serikali!..? Kuna kitu kingine watu hawajakijua pia serikali ilijaribu kuwa humus wanafunzi wote walomaliza darasa7 kuwapeleka secondary haikujali wamefaulu AMA vipi ili wote tu wamaliza 4 ..wakati zamani walokua wakichaguliwa ni wale walofaulu tu na hata walofeli wengine walibaki nyumbani coz wazazi hawawezi kuwalipia privet schools but now wote wanaenda sec..pamoja na shule za kata namapungufu yake wapo walofaulu kutoka humo kwenyekata...haya ukijaizo ya kulipia unakuta shule nzima wamefell hapo napo unamlaumu nani nahao hawakua shule za kata?!
 
Ukosefu wa-walimu,vifaa,mazingira ya shule,mazingira ya nyumbani,timeframe,maabara,ethics,interests,MGOMO BARIDI wa walimu unaoendelea+govt=well formed education disaster on the ground, where's Mrs Matoke?? Hhahahahahaaa!! Dengu zimeisha mama?hongera mjasiriamali mwajiriwa!!hii ndiyo Bongo tz!!wengine jua wengine mvua aaaahahahahahaaaaaa----
 
Kuna mambo mengi sana ya kuangalia kuhusu ufaulu au kufeli kwa wanafunzi. Jitihada za mwanafunzi binafsi, mazingira wanayosoma, walimu, wajibu wa wazazi n.k. Lakini hivi inawezekanaje mtu afanyishwe mtihani wa practical wakati shule haina maabara wala hizo practicals hajawahi kufundishwa? Utampimaji mwanafunzi ambaye ana kila aina ya vifaa vya kujifunzia pamoja na walimu vs yule asiyekuwa na walimu wala vifaa? hapo kuna tatizo. Sule za kata haziwezi kushindana na shule za wenye nacho. Mfumo wetu hautoi haki sawa kwa watoto wa walalahoi walioko shule za kata na wale wa walalapoa walioko kwenye shule nzuri zenye kila aina ya walimu na vifaa. Lakini pia kizazi hiki kimekuwa cha vijana wasiopenda kujishughulisha na kazi. Pamoja na mazingira magumu ya kusomea lakini wanafunzi wengi ni wavivu wa kusoma na kutafuta hata material ya kusoma kwa wenzao walioko kwenye shule "nzuri". Kwa upande wa wazazi hawa nao wamesahau wajibu wao kwa watoto. Hawatoi ushirikiano wa kutosha kwa walimu. Walimu nao wengi wao hawatimizi wajibu. Mfano shule kongwe za serikali zina walimu wazuri sana kitaaluma lakini hawafundishi kazi imekuwa kurashia tu na kuwaomba watoto hela za tuition. Serikali ina wajibu mkubwa wa kuangalia vtabu vya kiada na ziada si kila chule itumie vitabu inavyoviona vinafaa, chemicals ziwepo kwenye maabara, walimu wapewe motisha na wasimamiwe vizuri ili wafanye kazi zao vizuri etc.
kuna theory practical mkuu,hata hivyo tuition zinaharibu sana mfumo wa elimu...wanafunzi wanashika ya tuition badala ya darasani...Serikali idhibiti au iruhusu tuition center zifundishwe na qualified teachers otherwise we fighting against the wall !
 
Wana practice nini kama hakuna vifaa mkuu?eg chemicals,experts nk?
 
Tusiilaumu serikali kwa matokeo ya FORM FOUR,kama kuna vijana wamepata division one,two,three & Four na hao wa Zeros ni haki yao pia.
Kuna watu wanapenda kuleta siasa kwenye masuala ya elimu,wazazi wanawajibika moja kwa moja kwa malezi duni ya watoto wao hasa hawa mabinti wanaoshinda guest na mabuzi,wavulana wana vuta bangi hadi wanaamua kuchora "ZOMBI" na "MESSI" ..turudi kwenye uhalisia na maadili ili kuokoa kizazi cha vijana wetu.
Zamani walimu walikuwa wanawauzia majibu wanafunzi na kuwafanyia mitihani,leo hii serikali inadhibiti masuala hayo ili kupata cream nzuri ya wasomi,sisi tunalalamika kwa kumunyoshea kidole WAZIRI ajiuzuli.
That's not FAIR,why other students performed excellently?

Let us play our role to build our nation by giving moral authority to our family !

You must be on drugs.
 
Kupata 100% siyo rahihi hata walimu wenyewe wanaofundisha wakipewa mtihani huo hawawezi kupata 100%
 
Back
Top Bottom