Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wana Redio yao maarufu inaitwa morning star Redio,wale jamaa wakiamka ni kuwasimanga RC wakilala ni kuwasuta RC.Labda ni maelekezo kutoka kwa Nabii wao Bi Ellen G White.
Mazinge unamwona yupo sawa kichwani kwani?Hilo swali nishagajiuliza sana
Sawa sawa na mazinge kuhubili bila kuutaja ukristo hawezi ridhika kabisa
Pamoja sana Sir Battle.Kanisa la Sabato, ni kanisan la Mungu, na Mungu mwenyewe ni msabato ndio maana anajiita Bwana wa Sabato.
Mungu hapatani na shetani, shetani pekee ndio anafurahia ushoga , ubakaji, Ndoa za jinsia moja, kuabudu sanamu, kusali jumapili Et kisa siku ni siku tu, kujiita Mungu wa Duniani , mtoto wa Mungu, ubatizo usokua sawa na ule wa Yesu , kutofuata biblia inasemaje...
Sasa Roman wenyewe hayo yote ya juu wanayafurahia.
Na kwakua Romani ndio Babeli Mkuu , Mama wa kahaba.
Sisi wasabato tutaendelea kuwapa Kichapo Kwa msaada wa Roho mtakatifu.
Sabato ndio Kanisa pekee lisoyumbishwa enzi na enzi...hata Romani analifaham hili.
Wewe husomi biblia takatifu?? Kama husomi ,huwezi mjua Mungu.Mkuu kumbe Mungu ni msabato?!
Huwezi kuelewa hayo Kwa sababu bichwa lako limeegemea kwenye miujuza.Mi sio msabato Wala mroma..ila karibu katika maandiko,vipeperushi nk vya wasabato nlivyopata kuvisoma yani wanawananga sana wakatoliki.hasa wakijadili kuhusu chapa 666,mpinga kristo, sijui mnyama nk.wasabato wao bwana ni waroma.
Ila uongo dhambi roman katoliki Kuna mambo hayako sawa.acheni wawaseme na watufungue macho wengine
Aha kumbe unasikia huna hakika?jiunge nao uone meza ya BWANA wanavyoshiriki.USIPENDE KUAMBIWAWasabato watu wa hovyo sana nasikia kabla hawa hawajaingia kwenye meza ya bwana wanaogeshana kabisa humo humo kanisani
Nimesoma Biblia ila sijaona hilo fungu MkuuWewe husomi biblia takatifu?? Kama husomi ,huwezi mjua Mungu.
Mungu ni msabato kabisaaa nayeye anajiita Bwana wa Sabato.
Ongezea kuwa huwezi kuwa mtu wa Mungu bila kuacha zinaa!Huwezi kuwa mtu wa MUNGU bila sabatho.waebrania 4;9 imesalia raha ya sabato kwa watu wa MUNGU. Je km huna sabatho unaweza kuwa mtu wa MUNGU? JIBU NI HAPANA kwa sababu tumeonya tusije tukaasi sabatho waebrania 4:10