EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
We msabato Tuliambiwa tuogeshane nikatoka ndukiAha kumbe unasikia huna hakika?jiunge nao uone meza ya BWANA wanavyoshiriki.USIPENDE KUAMBIWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We msabato Tuliambiwa tuogeshane nikatoka ndukiAha kumbe unasikia huna hakika?jiunge nao uone meza ya BWANA wanavyoshiriki.USIPENDE KUAMBIWA
🤣🤣🤣🤣Mungu mwenyewe ni msabato ndio maana anajiita Bwana wa Sabato.
Sabato ndio Kanisa pekee lisoyumbishwa enzi na enzi...hata Romani analifaham hili.
Wako shallow sana kitheolojia.Wadau hamjamboni nyote?
Naomba sana moderator uache huru Uzi huu Tafadhali
Kichwa cha habari chahusika?
Siyo mahubiri au Vitabu kote huko lazima ukute mifano yote hasi dhidi ya Kanisa Katoliki
Napenda kujua haiwezekani ikahubiriwa injili bila kufanya hivyo?
Ni chuki? Wivu? Propaganda? Mikakati? Au mbinu za waasisi kuwa na waumini wa uhakika ndani ya Kanisa husika.
Na je wakihubiri bila kutaja Kanisa la Mitume ni itakuwa athari Kwa Kanisa hilo hususani upande wa waamini
Je waumini wanaimani na Kanisa hilo kwakuwa wamepewa mawazo hasi dhidi ya Ukatoliki au ni kwakuwa wanaimani na mafundisho ya Kanisa hilo?
Niwatakie usiku mwema
Na hii ndo silaha kubwa sana kwa wakatoliki. Utuseme uwezavyo, tunakuangalia, baada ya hapo kwenye kitimoto na bia. Dominika tunaenda zenu kanisani. Ukiupenda ukatoliki, wewe mwenyewe, tafuta kanisa liliko then fuata taratibu zake kwishaa..!! Huutaki ukatoliki baki huko uliko hakuna mtu atakuja kukuhubiria uingie ukatoliki.Alafu hata hawajibiwi.
Inauma sana ukijipanga kwa vita kwa silaha kibao alafu adui yako anakudharau.
Thehebu, jipya ? Fafanua. Wayahudi na Wasabato wana tofauti kubwa. Wasome wote kwa wakati wako utaona.Wasabato ni dhehebu jipya la Wayahudi/Wafarisayo kwenye kanzu mpya.
Umesahau walitabiri siku ya mwisho wakafeli, wakati kitabu kiko wazi hakuna aijuaye siku iyoo , hata Yesu wao haijui.Hao ni wapuuzi sana, wanahisi wanaujua ukatoliki kuliko sisi. Anyway, mti mwema ndio unaopigwa mawe. Achana na machizi wa karne ya 19. It is a cult. Yani waasisi wao ni shida ukisoma historia, Joseph Smith( freemason) , Miller nae, Hellen G White, matatizo ya akili. Wana conspiracy theories ambazo ni vichekesho, Papa wanamuita Vicarius filii dei, title ambayo haipo alafu wanapiga hesabu ushuzi inakuja 666. Yani ni takataka we usipoteze muda nao. Wanakwambia eti uislamu uliletwa na Kanisa katoliki. Wana ushuzi mwingi we usiumize kichwa, focus.
Hoja ya msingi ilipaswa kuwa "WOKOVU".
Hakuna kanisa litakalompeleka mtu kwa Mungu bila yeye binafsi kuwa na uhusiano chanya na Mungu wake.
Hayo mengine kama ushoga, uzinzi n.k ni maovu yanafanywa na baadhi ya wafuasi wa kila imani wakiwemo wasabato.
Ukiokolewa kwa neema na kuishi katika usafi wa kiroho na nafsi hapo ndo uko salama.
Wokovu siyo mali ya wasabato pekee wala kundi flani kwa njia ya kujihesabia haki.
Madhehebu ni kama magari tu ya kusafiria ila mbinguni hayapo.
Hivyo, tutafute kwa bidii kuwa na amani na watu wote na huo utakatifu ambao pasipokuwa nao hatutaurithi ufalme wa MUNGU.
Bibilia ndio inawaongoza kutoa hicho kichapo? yaani inamaana mko kwa ajili ya kushindana, kwanini mnajihesabia haki?Kanisa la Sabato, ni kanisan la Mungu, na Mungu mwenyewe ni msabato ndio maana anajiita Bwana wa Sabato.
Mungu hapatani na shetani, shetani pekee ndio anafurahia ushoga , ubakaji, Ndoa za jinsia moja, kuabudu sanamu, kusali jumapili Et kisa siku ni siku tu, kujiita Mungu wa Duniani , mtoto wa Mungu, ubatizo usokua sawa na ule wa Yesu , kutofuata biblia inasemaje...
Sasa Roman wenyewe hayo yote ya juu wanayafurahia.
Na kwakua Romani ndio Babeli Mkuu , Mama wa kahaba.
Sisi wasabato tutaendelea kuwapa Kichapo Kwa msaada wa Roho mtakatifu.
Sabato ndio Kanisa pekee lisoyumbishwa enzi na enzi...hata Romani analifaham hili.
Vipi, kuhusu, Ndugu, Ibrahim, Isaka n Yakobo walikuwa watu wa Mungu?Huwezi kuwa mtu wa MUNGU bila sabatho.waebrania 4;9 imesalia raha ya sabato kwa watu wa MUNGU. Je km huna sabatho unaweza kuwa mtu wa MUNGU? JIBU NI HAPANA kwa sababu tumeonya tusije tukaasi sabatho waebrania 4:10
Wewe umejaa chuki dhidi ya Wasabato. Post zako zote ni kuwasimanga wasabato na kuwanenea mabaya. Acha kueneza chuki. Wasabato wanahubiri kilichopo kwenye Biblia, kwa nini wewe uumie?? Acha chuki, haitakusaidia katika imani hako
NDYO WALIKUWA WATU WA MUNGU NAO WALIKUWA WANASHKA SABATHO.Ndyo mana kwenye amri ya MUNGU IMEANDIKWA IKUMBUKE SABATHO KWA MAANA WANAKUMBUSHWA KITU AMBACHO KILIKUWEPO WAKAJA WAKAISAHAU UTUMWANI MISRI KWA ZAIDI YA MIAKA 400Vipi, kuhusu, Ndugu, Ibrahim, Isaka n Yakobo walikuwa watu wa Mungu?
Acha uongo, lini mlipambana na ushoga wakati Mungu wenu anawafundisha msamehe...Kanisa la Sabato, ni kanisan la Mungu, na Mungu mwenyewe ni msabato ndio maana anajiita Bwana wa Sabato.
Mungu hapatani na shetani, shetani pekee ndio anafurahia ushoga , ubakaji, Ndoa za jinsia moja, kuabudu sanamu, kusali jumapili Et kisa siku ni siku tu, kujiita Mungu wa Duniani , mtoto wa Mungu, ubatizo usokua sawa na ule wa Yesu , kutofuata biblia inasemaje...
Sasa Roman wenyewe hayo yote ya juu wanayafurahia.
Na kwakua Romani ndio Babeli Mkuu , Mama wa kahaba.
Sisi wasabato tutaendelea kuwapa Kichapo Kwa msaada wa Roho mtakatifu.
Sabato ndio Kanisa pekee lisoyumbishwa enzi na enzi...hata Romani analifaham hili.
Wajinga tena sana! Bibilia ni Kitabu cha Wakatoliki - So waachane nacho hicho waje na kitabu chao kwanza ndo waendeleze Chuki zaoWadau hamjamboni nyote?
Naomba sana moderator uache huru Uzi huu Tafadhali
Kichwa cha habari chahusika?
Siyo mahubiri au Vitabu kote huko lazima ukute mifano yote hasi dhidi ya Kanisa Katoliki
Napenda kujua haiwezekani ikahubiriwa injili bila kufanya hivyo?
Ni chuki? Wivu? Propaganda? Mikakati? Au mbinu za waasisi kuwa na waumini wa uhakika ndani ya Kanisa husika.
Na je wakihubiri bila kutaja Kanisa la Mitume ni itakuwa athari Kwa Kanisa hilo hususani upande wa waamini
Je waumini wanaimani na Kanisa hilo kwakuwa wamepewa mawazo hasi dhidi ya Ukatoliki au ni kwakuwa wanaimani na mafundisho ya Kanisa hilo?
Niwatakie usiku mwema
UNAELEWA MAANA YA MEZA YA BWANAWe msabato Tuliambiwa tuogeshane nikatoka nduki
Mimi ninawasifu kwa kututengenezea madem wasi na gharama.Wadau hamjamboni nyote?
Naomba sana moderator uache huru Uzi huu Tafadhali
Kichwa cha habari chahusika?
Siyo mahubiri au Vitabu kote huko lazima ukute mifano yote hasi dhidi ya Kanisa Katoliki
Napenda kujua haiwezekani ikahubiriwa injili bila kufanya hivyo?
Ni chuki? Wivu? Propaganda? Mikakati? Au mbinu za waasisi kuwa na waumini wa uhakika ndani ya Kanisa husika.
Na je wakihubiri bila kutaja Kanisa la Mitume ni itakuwa athari Kwa Kanisa hilo hususani upande wa waamini
Je waumini wanaimani na Kanisa hilo kwakuwa wamepewa mawazo hasi dhidi ya Ukatoliki au ni kwakuwa wanaimani na mafundisho ya Kanisa hilo?
Niwatakie usiku mwema
Mkuu umewajibu kwa hoja vile inavyotakiwa.Kanisa la Sabato, ni kanisan la Mungu, na Mungu mwenyewe ni msabato ndio maana anajiita Bwana wa Sabato.
Mungu hapatani na shetani, shetani pekee ndio anafurahia ushoga , ubakaji, Ndoa za jinsia moja, kuabudu sanamu, kusali jumapili Et kisa siku ni siku tu, kujiita Mungu wa Duniani , mtoto wa Mungu, ubatizo usokua sawa na ule wa Yesu , kutofuata biblia inasemaje...
Sasa Roman wenyewe hayo yote ya juu wanayafurahia.
Na kwakua Romani ndio Babeli Mkuu , Mama wa kahaba.
Sisi wasabato tutaendelea kuwapa Kichapo Kwa msaada wa Roho mtakatifu.
Sabato ndio Kanisa pekee lisoyumbishwa enzi na enzi...hata Romani analifaham hili.
Hizo amri walipewa wapi, mbona unakuwa muongo? Huko utumwani walikuwa wanamfahamu Mungu?NDYO WALIKUWA WATU WA MUNGU NAO WALIKUWA WANASHKA SABATHO.Ndyo mana kwenye amri ya MUNGU IMEANDIKWA IKUMBUKE SABATHO KWA MAANA WANAKUMBUSHWA KITU AMBACHO KILIKUWEPO WAKAJA WAKAISAHAU UTUMWANI MISRI KWA ZAIDI YA MIAKA 400
Wapo wanaoenda saluni sio wasabato?Mimi ninawasifu kwa kututengenezea madem wasi na gharama.
Dem wa kisabato ukimpata usimbadilishe wala usikubali abadilishe dhehebu kutoka huko alipo.
Huwa hawana makuu, bajeti zao ni kumnunulia kitana au chanuo, mafuta ya mgando kwa ajili ya kujipaka (Petroleum Jelly), no nyama, atataka ale uyoga, chakula kipikwe chukuchuku au kama ni viungo viwe na karanga, nyanya, vitunguu na pilipili.