Haiwezekani Wasabato kuhubiri neno la Mungu bila kutaja Kanisa Katoliki? Au ni mafunuo? au mbinu za kupata na kutunza wafuasi?

Nimewakumbuka Wasabato Masalia miaka ile wanataka kusafiri nje ya nchi bila passport,visa wala ticket utadhani wanaenda kwa waume zao??
Ningekuwa na mamlaka miaka ile ningewafunga jela miaka 10 iwe fundisho kwa ndezi wengine wenye akili za kingese kama wale watu.
 
Sijakuelewa shida Yako hasa ni nn
 
Sijakuelewa shida Yako hasa ni nn
Na huwezi kuni elewa sababu hivyo unavyo soma vyenyewe huvi elewi hata origin yake huelewi ndio maana unaamini vimeandikwa na wakatoliki.

Kwa kifupi hamna sehemu iliyo andikwa tusali jumamosi sababu eti Mungu alipumzika siku ya Saba (Jumamosi),mpaka sasa haijulikani Mungu alianza uumbaji siku gani.

Hamna bora mbele ya Mungu sababu ya Imani ya mtu, shika amri za Mungu ziishi hiko ndicho cha msingi so hata ukiamua unasali siku yoyote ya wiki bado upo sawa cha msingi unaziishi na kuzishika amri za Mungu.

Sijui Ukatoliki, mara Sabato, mara KKKT ni upuuzi mtupu hata Yesu mwenyewe alikuwa hataki kufungana na haya madhebu za Kiyahudi, havina maana kama huishi na kuzishika amri za Mungu hivyo ndivyo vitu vya msingi.
 
Kisa Kiti moto.
 
Maelezo marefu sana lkn hakuna point yoyote uliyoandika. Ingekuwa karatasi nimekunja na kwenda kuchambia. 🗑️
 
Umelenga nini hasa kwenye6&9?
Yaani ukitazama 9 kutoka juu (suppose umekaa juu na unaiangalia 9 kutoka upande huo wa juu) utaona ni 6 na ukiiangalia kutoka chini au ubavuni utaona ni 6. Hivyo, unaweza kusema kuwa 6 au 9 inategemea unaiangalia hiyo namba kutoka upande gani.
 
Maelezo marefu sana lkn hakuna point yoyote uliyoandika. Ingekuwa karatasi nimekunja na kwenda kuchambia. 🗑️
Sishangai kama akili zenyewe za kuamini biblia imetungwa na wa katoliki na kuongezea na karatasi hii nenda kachambie nalo kwani huna unacho kijua.
 
Mungu hana dini na hajifungamishi na upande wowote ule.Halafu nani aliwaambia siku ya Jumamosi Mungu alipumzika...? Imeandikwa wapi maana hata kalenda yenyewe nayo imetengenezwa na hawa hawa wakatoliki.
Naona mnatumia nguvu sana kushindana na Wasabato,ili kujibu hoja zao,tungejiuliza/tungeulizana,
Je,Mafundisho yao ni ya uongo?
-kama jibu ni ndiyo,-thibitisha.
Je,Yapo nje ya/yanakinzana na maandiko matakatifu [Biblia]?
-Kama jibu ni ndiyo -thibitisha.
Kwa maana imeandikwa;
''Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama;bali juu ya falme na mamlaka,juu ya wakuu wa giza hili,juu ya majesji ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho”
[Waefeso 6;12].Tukielewa hili fungu, Tunapaswa kujua kuwa pambano tulilo nalo halihusu dini ya RC,bali ni dhidi ya TAASISI YA RC[Roman empire], ambayo ufalme wake umefananishwa na Mnyama wakutisha na mwenye nguvu [soma, Daniel 7;19-25/Ufunuo 13].
Hizi kalenda kuwa zimetengenezwa na Catholic,sio jambo la kujivunia kwasababu wametimiza UNABII [Daniel 7;25-->''ataazimu kubadili majira na sheria''], kuthibitisha kiwango cha UASI alicho nacho mbele za Ndiyo maana MUNGU anasema;
''TOKENI KWAKE,ENYI WATU WANGU,MSISHIRIKI DHAMBI ZAKE,WALA MSIPOKEE MAPIGO YAKE ''[Ufunuo 18;4]
Tusome maandiko kwa nia ya kujifunza,na siyo kwaajili ya ushindani.
 
Kama kusema makanisa mengine ndio injili inayowapa msosi kazaneni!
 
Hii inahusiana nini na hii mada,poor mind kwamba katika imani nyingine hakuna mademu walalamishi,wabishi na wajuaji?
Hii mada inahusu wasabato na mambo yao.
Miongoni mwa hayo mambo ni mademu wa huko.
Vibishi sana na hujiona viko sahihi muda woote.
Kila wakati kunikosoa tuu,kakikosea nikikaambia kanaanza mbona wewe ulifanya hivi mara vile khhaaa muda huo yuko busy kunishawishi nihamie kanisani kwao.......Poor mind kabisa huyu dada yako
 
Huwezi kujionyesha kuwa uko sahihi kwa kumlaumu mtu mwingine asiye sawa. Kwa mfano, watu wa Sabato badala ya kujiboresha, wanatumia muda wao kuwakosoa Wakatoliki badala ya kujitazama wao wenyewe.
Ajidhaniaye amesimama aangalie asianguke
 
Mimi nina bahati kupata vibinti vya namna hio ila vinanishinda tu kuniambia niende kanisani kwao najikuta nakula na kupita
 
Unadeal na watu hawataki kunywa chai, coca cola, muddy, hawasuki pasta, hawajirembi yani in such wapo tu. Hao walishaingia mbinguni hakuna haha ya kujibizana nap.
 
Hata unacho kiongea hukielewi, taasisi ya ROMA Empire ndio ipi? Sehemu gani ufalme wa Roma Empire umefananishwa na Mnyama? Yani mnaungaunga.

Hoayo mafundisho yao ya uongo ya ya nini imani yao au imani Katoliki? Hivi ww unaijua imani katoliki na misingi yake?

Kwa hiyo pambano lenu halihusu dini ya RC (Halafu hamnaga dini ya RC bali dhehebu la RC),sasa kama halihusu dini why waumini wake uwaone wanakosea kuamini ktk imani katoliki?

Yaani unajicotradict unasema mafundisho yao ya uongo, halafu unarudi huna shida na dini katoliki. Hivi unacho kiandika unakielewa hata ww mwenyewe.

Sasa kalenda zimetengenezwa na wakatoliki, halafu hawa hawa walio jichagulia Jumamosi iwe siku yao ya Ibada wanajiona watakatifu na kuamini Mungu alipumzika Jumamosi.

Halafu mbona nimeandika vitu vya kawaida, labda kama ww kichwa chako kizito,ndio maana unaona nimetumia nguvu.
 
Kwanini wasabato hawawashambulii waislamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…