Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakuelewa shida Yako hasa ni nnMbona unakuwa kituko,Okay Kuna sehemu uliyo andika inasema Mungu alipumzika siku ya Saba (Jumamosi),kuna sehemu inaonyesha tunatakiwa kusali na kupumzika hiyo Jumamosi ya Sabato au kuna sehemu kwenye hicho ulicho kiandika kinasema Jumapili ni siku ya kwanza ambayo Mungu alianza uumbaji.
Halafu biblia haikutungwa na Katoliki, yaani unaendelea kutoa maboko. Bali Wakatoliki walikusanya hivyo vitabu vilivyo andikwa na mitume na manabii wa Mungu na kuvipangilia kwenye mtiririko. Ila hamna mkatoliki aliye tunga biblia,biblia ni ujumbe wa Mungu kupitia kwa Manabii na Mitume ili uwafikie watu wake
Na huwezi kuni elewa sababu hivyo unavyo soma vyenyewe huvi elewi hata origin yake huelewi ndio maana unaamini vimeandikwa na wakatoliki.Sijakuelewa shida Yako hasa ni nn
Kisa Kiti moto.Wadau hamjamboni nyote?
Naomba sana moderator uache huru Uzi huu Tafadhali
Kichwa cha habari chahusika?
Siyo mahubiri au Vitabu kote huko lazima ukute mifano yote hasi dhidi ya Kanisa Katoliki
Napenda kujua haiwezekani ikahubiriwa injili bila kufanya hivyo?
Ni chuki? Wivu? Propaganda? Mikakati? Au mbinu za waasisi kuwa na waumini wa uhakika ndani ya Kanisa husika.
Na je wakihubiri bila kutaja Kanisa la Mitume ni itakuwa athari Kwa Kanisa hilo hususani upande wa waamini
Je waumini wanaimani na Kanisa hilo kwakuwa wamepewa mawazo hasi dhidi ya Ukatoliki au ni kwakuwa wanaimani na mafundisho ya Kanisa hilo?
Niwatakie usiku mwema
Maelezo marefu sana lkn hakuna point yoyote uliyoandika. Ingekuwa karatasi nimekunja na kwenda kuchambia. 🗑️Na huwezi kuni elewa sababu hivyo unavyo soma vyenyewe huvi elewi hata origin yake huelewi ndio maana unaamini vimeandikwa na wakatoliki.
Kwa kifupi hamna sehemu iliyo andikwa tusali jumamosi sababu eti Mungu alipumzika siku ya Saba (Jumamosi),mpaka sasa haijulikani Mungu alianza uumbaji siku gani.
Hamna bora mbele ya Mungu sababu ya Imani ya mtu, shika amri za Mungu ziishi hiko ndicho cha msingi so hata ukiamua unasali siku yoyote ya wiki bado upo sawa cha msingi unaziishi na kuzishika amri za Mungu.
Sijui Ukatoliki, mara Sabato, mara KKKT ni upuuzi mtupu hata Yesu mwenyewe alikuwa hataki kufungana na haya madhebu za Kiyahudi, havina maana kama huishi na kuzishika amri za Mungu hivyo ndivyo vitu vya msingi.
Yaani ukitazama 9 kutoka juu (suppose umekaa juu na unaiangalia 9 kutoka upande huo wa juu) utaona ni 6 na ukiiangalia kutoka chini au ubavuni utaona ni 6. Hivyo, unaweza kusema kuwa 6 au 9 inategemea unaiangalia hiyo namba kutoka upande gani.Umelenga nini hasa kwenye6&9?
Sishangai kama akili zenyewe za kuamini biblia imetungwa na wa katoliki na kuongezea na karatasi hii nenda kachambie nalo kwani huna unacho kijua.Maelezo marefu sana lkn hakuna point yoyote uliyoandika. Ingekuwa karatasi nimekunja na kwenda kuchambia. 🗑️
Safi kabisa📌Nakazia 🔨
🤣🤣Kanisa katoliki kachagua kuplay role ya kitimoto.
Hapa duniani hakuna kiumbe kinasimangwa kama huyo jamaa,ila ndiyo kwanza anazidi kunona na kutoa mafuta.
Ndiyo RC sasa.
Naona mnatumia nguvu sana kushindana na Wasabato,ili kujibu hoja zao,tungejiuliza/tungeulizana,Mungu hana dini na hajifungamishi na upande wowote ule.Halafu nani aliwaambia siku ya Jumamosi Mungu alipumzika...? Imeandikwa wapi maana hata kalenda yenyewe nayo imetengenezwa na hawa hawa wakatoliki.
Pole pole baba.. Mkwe wangu huyu..Mazinge unamwona yupo sawa kichwani kwani?
Huyo hata hao waislamu wenzie wanamchukulia kama katuni akiwa anahubiri.
Hii mada inahusu wasabato na mambo yao.Hii inahusiana nini na hii mada,poor mind kwamba katika imani nyingine hakuna mademu walalamishi,wabishi na wajuaji?
Mimi nina bahati kupata vibinti vya namna hio ila vinanishinda tu kuniambia niende kanisani kwao najikuta nakula na kupitaHii mada inahusu wasabato na mambo yao.
Miongoni mwa hayo mambo ni mademu wa huko.
Vibishi sana na hujiona viko sahihi muda woote.
Kila wakati kunikosoa tuu,kakikosea nikikaambia kanaanza mbona wewe ulifanya hivi mara vile khhaaa muda huo yuko busy kunishawishi nihamie kanisani kwao.......Poor mind kabisa huyu dada yako
Unadeal na watu hawataki kunywa chai, coca cola, muddy, hawasuki pasta, hawajirembi yani in such wapo tu. Hao walishaingia mbinguni hakuna haha ya kujibizana nap.Wadau hamjamboni nyote?
Naomba sana moderator uache huru Uzi huu Tafadhali
Kichwa cha habari chahusika?
Siyo mahubiri au Vitabu kote huko lazima ukute mifano yote hasi dhidi ya Kanisa Katoliki
Napenda kujua haiwezekani ikahubiriwa injili bila kufanya hivyo?
Ni chuki? Wivu? Propaganda? Mikakati? Au mbinu za waasisi kuwa na waumini wa uhakika ndani ya Kanisa husika.
Na je wakihubiri bila kutaja Kanisa la Mitume ni itakuwa athari Kwa Kanisa hilo hususani upande wa waamini
Je waumini wanaimani na Kanisa hilo kwakuwa wamepewa mawazo hasi dhidi ya Ukatoliki au ni kwakuwa wanaimani na mafundisho ya Kanisa hilo?
Niwatakie usiku mwema
Tena asili yake ni Tarime Mara TanzaniaWewe husomi biblia takatifu?? Kama husomi ,huwezi mjua Mungu.
Mungu ni msabato kabisaaa nayeye anajiita Bwana wa Sabato.
Hata unacho kiongea hukielewi, taasisi ya ROMA Empire ndio ipi? Sehemu gani ufalme wa Roma Empire umefananishwa na Mnyama? Yani mnaungaunga.Naona mnatumia nguvu sana kushindana na Wasabato,ili kujibu hoja zao,tungejiuliza/tungeulizana,
Je,Mafundisho yao ni ya uongo?
-kama jibu ni ndiyo,-thibitisha.
Je,Yapo nje ya/yanakinzana na maandiko matakatifu [Biblia]?
-Kama jibu ni ndiyo -thibitisha.
Kwa maana imeandikwa;
''Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama;bali juu ya falme na mamlaka,juu ya wakuu wa giza hili,juu ya majesji ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho”
[Waefeso 6;12].Tukielewa hili fungu, Tunapaswa kujua kuwa pambano tulilo nalo halihusu dini ya RC,bali ni dhidi ya TAASISI YA RC[Roman empire], ambayo ufalme wake umefananishwa na Mnyama wakutisha na mwenye nguvu [soma, Daniel 7;19-25/Ufunuo 13].
Hizi kalenda kuwa zimetengenezwa na Catholic,sio jambo la kujivunia kwasababu wametimiza UNABII [Daniel 7;25-->''ataazimu kubadili majira na sheria''], kuthibitisha kiwango cha UASI alicho nacho mbele za Ndiyo maana MUNGU anasema;
''TOKENI KWAKE,ENYI WATU WANGU,MSISHIRIKI DHAMBI ZAKE,WALA MSIPOKEE MAPIGO YAKE ''[Ufunuo 18;4]
Tusome maandiko kwa nia ya kujifunza,na siyo kwaajili ya ushindani.
Kwanini wasabato hawawashambulii waislamu?Nimewasikiliza, unalosema si kweli. Wana mafundisho mengi sana bila kutaja ukatoliki. Kama, hukumu, zaka na sadaka, Uungu wa Yesu, Ubatizo, kifo, Roho mtakatifu nk. Ila walipofundisha Sabato walitaka aliyebadili na kuiweka Jumapili, siku ya ibada ya upagani. Usipowaelewa utaona wanakashifu ila wanasimamia ukweli wa maandiko.