The gospel of Mary.
Habari za Mida hii Ndugu Zangu Naomba kuanza kwa kuwatakia Sikukuu njema ya Kuzaliwa kwa Yesu kwa wale wote wafuasi wa imani ya Kikristo na hope mnaenjoy sana Happy noela Kabla ya yote ningependa kurejea Luka 1:1-3 Kama inavyosema; ..."Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu...
Ililichukua kanisa miaka isiyopungua 500 kujadili mambo mbalimbali kuhusu Yesu, na kipi kiwemo kwenye biblia na kipi kisiwemo na kipi kiandikwe na kiandikwe vipi na kipi kiachwe kabisa na kisizungumzwe tena Na wengi hawajui kuwa kuandikwa kwa biblia ya sasa kulichukua miaka mingi sana ,Huku pia kanisa likijadili Yesu anatakiwa kuonekana vipi mbele za jamii..."
Hakuna msabato aliyehusika na uandishi wowote wa biblia.
King James version ndio nae hakuwa msabato ndo biblia hasa inayotumiwa na wakristo wengi isipokuwa Romani maana sisi tuna biblia yenye vitabu vya ziada kama
Sira,hekima ya Solomon na wamakabayo nk.
Hapo juu soma kitabu Cha Mary wameandika yote halafu uje upinge kama rc hajahusika kabisa na uandishi wa biblia.