Haiwezekani Wasabato kuhubiri neno la Mungu bila kutaja Kanisa Katoliki? Au ni mafunuo? au mbinu za kupata na kutunza wafuasi?

Haiwezekani Wasabato kuhubiri neno la Mungu bila kutaja Kanisa Katoliki? Au ni mafunuo? au mbinu za kupata na kutunza wafuasi?

Kanisa la Sabato, ni kanisan la Mungu, na Mungu mwenyewe ni msabato ndio maana anajiita Bwana wa Sabato.

Mungu hapatani na shetani, shetani pekee ndio anafurahia ushoga , ubakaji, Ndoa za jinsia moja, kuabudu sanamu, kusali jumapili Et kisa siku ni siku tu, kujiita Mungu wa Duniani , mtoto wa Mungu, ubatizo usokua sawa na ule wa Yesu , kutofuata biblia inasemaje...

Sasa Roman wenyewe hayo yote ya juu wanayafurahia.

Na kwakua Romani ndio Babeli Mkuu , Mama wa kahaba.

Sisi wasabato tutaendelea kuwapa Kichapo Kwa msaada wa Roho mtakatifu.

Sabato ndio Kanisa pekee lisoyumbishwa enzi na enzi...hata Romani analifaham hili.
As an Adventists who claim to believe in the bible, do you believe the words of Jesus in Luke 23:43?
 
Wewe husomi biblia takatifu?? Kama husomi ,huwezi mjua Mungu.

Mungu ni msabato kabisaaa nayeye anajiita Bwana wa Sabato.
The truth is, each church needs to be assessed individually.
The denomination’s over emphasis on sabbath keeping is troubling, as it is inferred that only true Christians keep the sabbath, which Is in itself false doctrine. People are saved through becoming born again (John 3:3–5) not conformity to Jewish laws or traditions.
 
Huwezi kuelewa hayo Kwa sababu bichwa lako limeegemea kwenye miujuza.

Dhehebu pekee hapa Duniani lililofanikiwa kuijua Siri ya unabii ya vitabu VYA Ufunguo na Daniel, ni Wasabato.

RC viongozi wanaujua huo unabii ila wanajitoa ufahamu tu
The Bible does not support membership in any specific denomination (SDA, RC etc).
It says 'believe in the Lord Jesus Christ and you will be saved'.
Being a follower of Christ is not related to being a member of a particular denomination.

No church is capable of saving.
Jesus saves.
The church is nothing more than a tool that helps you view God.
 
Hoja ya msingi ilipaswa kuwa "WOKOVU".

Hakuna kanisa litakalompeleka mtu kwa Mungu bila yeye binafsi kuwa na uhusiano chanya na Mungu wake.

Hayo mengine kama ushoga, uzinzi n.k ni maovu yanafanywa na baadhi ya wafuasi wa kila imani wakiwemo wasabato.

Ukiokolewa kwa neema na kuishi katika usafi wa kiroho na nafsi hapo ndo uko salama.
Wokovu siyo mali ya wasabato pekee wala kundi flani kwa njia ya kujihesabia haki.

Madhehebu ni kama magari tu ya kusafiria ila mbinguni hayapo.

Hivyo, tutafute kwa bidii kuwa na amani na watu wote na huo utakatifu ambao pasipokuwa nao hatutaurithi ufalme wa MUNGU.
100%👍
No church is capable of saving. Jesus saves. The church is nothing more than a tool that helps us view God.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Kuna pisi kaninyima mbususu kisa yeye shahidi wa yehova na mm ni rc dah anataka ampe shahidi mwenzie kweli haki iko wapi 😕😕
 
Umesema mwili hauna mwili hauna uhai, vipi kuhusu roho yenyewe inakuwa hai au inakufa?
Wanafundisha wafu wako pagatory... Hakunaga kitu kama hiki kwakuwa mfu hajui neno lolote kulingana na Biblia. Mtu anapokufa pumzi inamrudia aliyeiumba na mwili ambao hauna uhai tena unakuwa kaburini had ufufuo wa mwisho Uwe ufufuo wa kwanza kwa watakatifu au ufufuo wa pili kwa waliotenda mabaya.

Kufanya ibada za wafu eti kumuombea marehemu ni makosa kwa vile hesabu ya mtu na Mungu wake inakamilika pale anapokufa hakuna namna ya kuboresha tena kile ambacho mtu hakukikamilisha kabla ya mauti yake.
 
Sishangai kama akili zenyewe za kuamini biblia imetungwa na wa katoliki na kuongezea na karatasi hii nenda kachambie nalo kwani huna unacho kijua.
The gospel of Mary.

Ililichukua kanisa miaka isiyopungua 500 kujadili mambo mbalimbali kuhusu Yesu, na kipi kiwemo kwenye biblia na kipi kisiwemo na kipi kiandikwe na kiandikwe vipi na kipi kiachwe kabisa na kisizungumzwe tena Na wengi hawajui kuwa kuandikwa kwa biblia ya sasa kulichukua miaka mingi sana ,Huku pia kanisa likijadili Yesu anatakiwa kuonekana vipi mbele za jamii..."

Hakuna msabato aliyehusika na uandishi wowote wa biblia.

King James version ndio nae hakuwa msabato ndo biblia hasa inayotumiwa na wakristo wengi isipokuwa Romani maana sisi tuna biblia yenye vitabu vya ziada kama
Sira,hekima ya Solomon na wamakabayo nk.

Hapo juu soma kitabu Cha Mary wameandika yote halafu uje upinge kama rc hajahusika kabisa na uandishi wa biblia.
 
Kwani mimi niliandika nini maana unarudia nilicho kiandika.

Walimu wanakazi sana.Hebu soma hiko ulicho andika juu na hiki cha chini ni sawa. Kabla hujaanza kusoma hiyo biblia jifunze kutofautisha kati ya KUTUNGA NA KUANDIKA.
Msabato Hana biblia Wala hatungi biblia .Biblia zote zinatungwa na katoriki wao wananunua tu.
Kutunga maana yake kitu unakitoa kichwani then ndio unakiandika. Ila Wakatoliki wao walicho fanya ni kukopi na kupaste kile kilicho andikwa mitume na manabii wa Mungu,then wakapanga mtililiko wa vitabu vya biblia.Manake mpaka unaiona biblia kuna wakatoliki walisoma maandiko ya manabii na mitume yaliyo andikwa sehemu mbalimbali, wakayaelewa then wakapangilia hivyo vitabu, kwenye mtililiko.Halafu hata hiyo Kalenda yenyewe wamegundua wao,then bado mnabishana nao mpaka siku ya kuabudu.

Ndio maana kwenye knowledge na uelewa wa biblia Wakatoliki wapo vizuri sana, sema hawanaga time ya kupandaga kwenye majukwaa na kujibizana na wanao wapinga sababu wanaamini sikio halizidi kichwa.

Haya na kuongezea na hili karatasi jengine la kuchambia.
 
Maelezo Yako marefu hayana tija yoyote. Sikupaswa kuandika "KUTUNGWA" Nilikosea
 
Wasabato nawakubali sana mafundisho Yao hawapindishi.

Jinsi sisi rc tunavyowaona akina mwamposa ni watapeli na wasabato wanatuona vilevile.

Kama wanayo sema ni uongo tuwe tunapinga Kwa maandiko sio blah blah maana wao wanasema Kwa maandiko na ushahidi wa vitabu vyetu.
Ikitokea RC limetoweka,hao wasabato watahubiri nini?Wasabato ni wasanii wanaoishi kwa mgongo wa RC.Kinyume na hapo wataanza shughuli za uganga wa jadi.
 
Maelezo Yako marefu hayana tija yoyote. Sikupaswa kuandika "KUTUNGWA" Nilikosea
Hayana tija halafu unakubali ulikosea........ tija yanayo sababu yamekuonesha ulipokosea.

Yaani wakatoliki wamekusanya vitabu vilivyo andikwa na manabii pamoja na mitume wa Mungu, wamevichunguza,wamevisoma na kuvielewa na baadae wakavipangilia katika mtililiko na bado tena hao hao ndio walio gundua na kuipangilia kalenda, halafu mnajifanya nyie mnajua kwa vitu ambavyo washavifanya kwa zaidi ya Karne kibao na bado mnatumia kalenda waliyo igundua wao na kujiona mko sahihi kusali Jumamosi. Ujue hawa mafather wanawatizama halafu wanawacheka, kwani kuanzia uelewa wa biblia hamuwafikii na hata upande wa elimu dunia waliyo nayo katika fani na kama mbalimbali hamuwakaribii ndio maana hawana time ya kupishana na hao wasabato

Haya ongeza na hili karatasi kachambie.
 
Kanisa la Sabato, ni kanisan la Mungu, na Mungu mwenyewe ni msabato ndio maana anajiita Bwana wa Sabato.

Mungu hapatani na shetani, shetani pekee ndio anafurahia ushoga , ubakaji, Ndoa za jinsia moja, kuabudu sanamu, kusali jumapili Et kisa siku ni siku tu, kujiita Mungu wa Duniani , mtoto wa Mungu, ubatizo usokua sawa na ule wa Yesu , kutofuata biblia inasemaje...

Sasa Roman wenyewe hayo yote ya juu wanayafurahia.

Na kwakua Romani ndio Babeli Mkuu , Mama wa kahaba.

Sisi wasabato tutaendelea kuwapa Kichapo Kwa msaada wa Roho mtakatifu.

Sabato ndio Kanisa pekee lisoyumbishwa enzi na enzi...hata Romani analifaham hili.
Kupambana na kanisa katoliki sio njia ya kwenda mbinguni - sisitizeni watu wenu waache uzinzi, uasherati, wivu, husda, wasambaze upendo kwa kila mtu, waache wizi, kutokuwa waongo, kuacha uvivu,uuaji, usengenyaji n.k. Hayo ndo mambo ya msingi hayo mengine mnayoyafanya mnajionyesha vile hamjiamini. Kama mnaamini Mungu wengu ndo original - NI SAWA pia..kwani kuna amewakataza msiamini hivyo..kikubwa ni making a world a better place to live
 
Huwezi kuwa mtu wa MUNGU bila sabatho.waebrania 4;9 imesalia raha ya sabato kwa watu wa MUNGU. Je km huna sabatho unaweza kuwa mtu wa MUNGU? JIBU NI HAPANA kwa sababu tumeonya tusije tukaasi sabatho waebrania 4:10
Kuwa mtu wa Mungu ni kutenda matendo mema na kuishi kitakatifu.
 
Kanisa la Sabato, ni kanisan la Mungu, na Mungu mwenyewe ni msabato ndio maana anajiita Bwana wa Sabato.

Mungu hapatani na shetani, shetani pekee ndio anafurahia ushoga , ubakaji, Ndoa za jinsia moja, kuabudu sanamu, kusali jumapili Et kisa siku ni siku tu, kujiita Mungu wa Duniani , mtoto wa Mungu, ubatizo usokua sawa na ule wa Yesu , kutofuata biblia inasemaje...

Sasa Roman wenyewe hayo yote ya juu wanayafurahia.

Na kwakua Romani ndio Babeli Mkuu , Mama wa kahaba.

Sisi wasabato tutaendelea kuwapa Kichapo Kwa msaada wa Roho mtakatifu.

Sabato ndio Kanisa pekee lisoyumbishwa enzi na enzi...hata Romani analifaham hili.
Wasabato siyo Wakristo.
 
Back
Top Bottom