Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani naomba mnisaidie. Hivi kwenda haja ndogo Mara kwa Mara ni ugonjwa? Msaada tafadhali.
jamani naomba mnisaidie. Hivi kwenda haja ndogo Mara kwa Mara ni ugonjwa? Msaada tafadhali.
Ukinywa maji mengi km lita moja,basi baada ya km robo saa utapata haja.Hata km ikiwa usiku then umekunywa maji mengi lzm uende haja mara kwa mara. Kama Lady G unakunywa maji mengi halafu unapata haja ndogo mara kwa mara haina madhara,isipokuwa km ni kinyume chake muone dokta.