Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba ya ufipa tu haijabadilika mwenyekiti ni yuleyule miaka kumi na kitu ... halafu mnataka katiba ya nchi ibadilike mtakavyo nyinyiNawapongeza sana raia wa Kenya kwa kuwa mawazo dynamic kuhusu katiba yao. Siyo kama katiba ya Tanzania ambayo inaonekana kama untouchable pamoja na mapungufu yake.
Majibu ya kipumbavu kama haya lazima yanatoka kwa mtu ambaye kichwa chake kimejaa maji ya nazi. Mimi nimeleta link ya Voice of America inayoongelea Katiba ya Kenya, na nikaweka comment yangu kuwapongeza kwani ni kweli Katiba ya Kenya iliandikwa upya miaka michache tu iliyopita, na tayari wamesheona mapungufu na wanataka wayashughulikia mara moja. Katiba ya Tanzania iliandikwa miaka 42 iliyopita na kufanyiwa viraka vidogo mwaka 2005, na dunia imebadilika lakini bado katiba ni ile ile. Sasa badala ya kunijibu mimi binafsi kwa kutokana comment yangu hiyo, ananiletea lugha ya blanket inayoashiria uoga wa hoja kwa kusema "mnataka;" kwani ni wangapi tulioweka post hiyo? Wala sikusema ninataka, nili-comment kuhusu taifa kubadili katiba kulingana na mazingira. Halafu katiba ya ufipa inahusianaina nini na post yangu? Ana mzigo mkubwa sana huyu wa kubeba madebe matupu juu ya shingo lake.Katiba ya ufipa tu haijabadilika mwenyekiti ni yuleyule miaka kumi na kitu ... halafu mnataka katiba ya nchi ibadilike mtakavyo nyinyi
Basi kichwa kilikuwa kinafaa kuwa 'haja ya kubadili katiba ya Tanzania' au vipi kaka?Majibu ya kipumbavu kama haya lazima yanatoka kwa mtu ambaye kichwa chake kimejaa maji ya nazi. Mimi nimeleta link ya Voice of America inayoongelea Katiba ya Kenya, na nikaweka comment yangu kuwapongeza kwani ni kweli Katiba ya Kenya iliandikwa upya miaka michache tu iliyopita, na tayari wamesheona mapungufu na wanataka wayashughulikia mara moja. Katiba ya Tanzania iliandikwa miaka 42 iliyopita na kufanyiwa viraka vidogo mwaka 2005, na dunia imebadilika lakini bado katiba ni ile ile. Sasa badala ya kunijibu mimi binafsi kwa kutokana comment yangu hiyo, ananiletea lugha ya blanket inayoashiria uoga wa hoja kwa kusema "mnataka;" kwani ni wangapi tulioweka post hiyo? Wala sikusema ninataka, nili-comment kuhusu taifa kubadili katiba kulingana na mazingira. Halafu katiba ya ufipa inahusianaina nini na post yangu? Ana mzigo mkubwa sana huyu wa kubeba madebe matupu juu ya shingo lake.
Hiyo inaweza kuwa sawa lakini mimi nilililteta kwenye jukwaa la Kenya kwa ajili ya kuwapongeza wakenya, na nilitumia heading ile ile ya Voice of America. Nilchhoongezea ni kujilinganisha nao, tena kwa sentensi moja tu.Basi kichwa kilikuwa kinafaa kuwa 'haja ya kubadili katiba ya Tanzania' au vipi kaka?
Ukisikia mabadiliko ya katiba, kwa lugha za wanasheria nadhani wanasema Constitutional Amendment, maana yaks ni kuichukua Katiba iliyopo na kuipitia upya note. Vifungu Vibaya vinarekebishwa an vile vizuri vinabaki. Hata Kenya walipoandika katiba yao upya Kuna vifungu vingi ambavyo hawakubadilisha, kwa mfano bado uchaguzi mkuu ni baada ya miaka mitano, na amiri jeshi mkuu bado ni Rais.Me najifunza, kubadilisha katiba sio overall solution. So I support magufuli kwa kuwa muwazi na kusema hatoshughulika nayo.
Na kwanini libadilishwe lote badala ya kubadilisha vifungu vyenye changamoto kwenye hali ya kisiasa ya sasa.
Acha kumuita mwenzie Mpumbavu kabla hujaona Upumbavu wako wenyeweMajibu ya kipumbavu kama haya lazima yanatoka kwa mtu ambaye kichwa chake kimejaa maji ya nazi. Mimi nimeleta link ya Voice of America inayoongelea Katiba ya Kenya, na nikaweka comment yangu kuwapongeza kwani ni kweli Katiba ya Kenya iliandikwa upya miaka michache tu iliyopita, na tayari wamesheona mapungufu na wanataka wayashughulikia mara moja. Katiba ya Tanzania iliandikwa miaka 42 iliyopita na kufanyiwa viraka vidogo mwaka 2005, na dunia imebadilika lakini bado katiba ni ile ile. Sasa badala ya kunijibu mimi binafsi kwa kutokana comment yangu hiyo, ananiletea lugha ya blanket inayoashiria uoga wa hoja kwa kusema "mnataka;" kwani ni wangapi tulioweka post hiyo? Wala sikusema ninataka, nili-comment kuhusu taifa kubadili katiba kulingana na mazingira. Halafu katiba ya ufipa inahusianaina nini na post yangu? Ana mzigo mkubwa sana huyu wa kubeba madebe matupu juu ya shingo lake.
(1) Na wewe uko kama yeye? (2) Kwako wewe kuboresha kitu chako huwa unachukulia kuwa ni kupoteza hela?Acha kumuita mwenzie Mpumbavu kabla hujaona Upumbavu wako wenyewe
Kama ulitaka Izungumziwe Kenya Umeitaja Tanzania yanini
Katiba ni katiba iwe ya Nchi au chama
Kwa Tanzania Bado vyama ndio vinaleta viongozi Asa kama Vyama vinaongozwa kiboya boya unategemea nini!!
Rais atoke kwenye chama chenye Katiba yahovyo Si ataharibu hata aiming hiyo unayo izungumzia!
Hebu jiulize Katiba yao Kenya inamiaka michache sana leo wanaiona Haifai huo si ufujaji wa pesa ya umma!
Kwa Africa bado sana Kila mmoja anauchu wa madaraka akiona Katiba inambana lazima aipinge
Kwani kuna tofauti gani za kimsing kati ya marekebisho na mabadiliko?Kenya inanuia kufanya ammendments(marekebisho) kwenye katiba, sio kutupilia kabisa katiba mpya ya Kenya. Naona porojo zimeanza kuenezwa, na wale wajuaji wa kawaida kwenye jukwaa hili.
Hamna, ila kuna comment moja hapo nimeona wakisema kwamba tayari wakenya wanaona katiba yao haifai. Eti na ni ufujaji wa pesa za umma kutupilia mbali katiba mpya kama ya Kenya.Kwani kuna tofauti gani za kimsing kati ya marekebisho na mabadiliko?