Hajawahi kutokea kama Jay Jay Okocha hapa Afrika

Mkuu Okocha aimbwe kwa kipi? Amefanya nini kwenye ulimwengu wa Soka? achivemvent yake kubwa ulaya ni kucheza Bolton timu inayopambana kutoshuka daraja.
 
Hata mimi nilikuwa napenda sana jinsi alivyokuwa analisakata pira.
 
Umesoma nili
Mkuu Okocha aimbwe kwa kipi? Amefanya nini kwenye ulimwengu wa Soka? achivemvent yake kubwa ulaya ni kucheza Bolton timu inayopambana kutoshuka daraja.
Umesoma vizuri nilichoandika mkuu, umekielewa.. Sijasema aimbwe ila nimesema haimbwi sawa na kipaji chake kwa sababu kuna vitu alikosa kama wenzie kina dinho, japo kwenye sekta ya vipaji, vipaji vyao vinawiana.
Shida kubwa alikuwa anacheza sana na jukwaa.
 
Anapiga watu kanzu mechi nzima mwisho timu yake inafungwa 3-0...skills zake zilikuwa hazisaidii timu tofauti na Ronaldinho alifanya ufundi huku akisaidia timu kupata ushindi na makombe ndo maana aliishia kucheza timu za kawaida tu

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Alikuwa anachezea matimu mabovu
 
Dinho yupo juu kwa Okocha
 
kwanza unatovuka adabu mno kuanza kumtaja sambamba na Dinho
 
Achana nao.
 
Mpira zamni watu walikuwa wanapata nafasi kuonyesha skills zao/individual skills, siku hizi mpira ni teamwork zaidi, mpira zamani ilikua burudani sana.
 
Hapa kuna 'Kumbi na Kumbinga'.....!

Kwa wanaokijua hiki Kisa Waliwahi kuulizwa Tembo anafanana na nini..!

Mmoja akajibu anafanana na Ukuta, huyu alipapasa ubavu

Mwingine akajibu anafanana na ungo, huyo alipapasa Sikio.

Wote walikuwa vipofu...!

Sasa Kwa Wale waliowahi kuwashuhudia kina Pele, Maradona,Johan Cruyff,Franz Beckenbauer,Zinedine Zidane,Cantona,Alfredo Di Stephano na Wengine Watasemaje...!
 
kwanza unatovuka adabu mno kuanza kumtaja sambamba na Dinho
Huyo Ronaldinho wako ana muadmire okocha, anamkubali kweli kweli, kiasi alimlalamikia okocha ie haraka yake ya kwenda uingereza, ila angeenda spain angeinjoy soka.
Dinho anamkubali okocha.
 
Huyo Ronaldinho wako ana muadmire okocha, anamkubali kweli kweli, kiasi alimlalamikia okocha ie haraka yake ya kwenda uingereza, ila angeenda spain angeinjoy soka.
Dinho anamkubali okocha.

waafrika tunapenda kujiburudisha kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…